Wataalam wa afya wapatiwa mafunzo ya kutambua moyo unaofanya kazi chini ya asilimia 50
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akitoa elimu ya jinsi ya kutambua moyo unaofanya kazi chini ya asilimia 50 kwa wataalam wa afya kutoka hospitali za wilaya na binafsi za Mkoa wa Dar es Salaam walioshiriki mafunzo maalum ya siku mbili ya jinsi ya kutoa huduma ya dharura kwa wagonjwa yaliyoandaliwa na kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharura na kufanyika katika ukumbi wa JKCI leo Jijini Dar es Salaam Baadhi ya washiriki wa mafunzo maalum ya kutoa huduma ya dharura wakifuatilia elimu iliyokuwa ikitolewa na Prof. Janabi (hayupo pichani) wakati wa mafunzo maalum ya siku mbili ya jinsi ya kutoa huduma ya dharura kwa wagonjwa yaliyoandaliwa na kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharula na kufanyika katika ukumbi wa JKCI leo Jijini Dar es Salaam Washiriki wa Mafunzo ya siku mbili ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura wakifanya mazoezi kwa vitendo jinsi ya kuokoa maisha ya mtu anayehitaji huduma ya dharura wakati wa mafunzo ya s