JKCI kuwa kituo cha Umahiri cha matibabu ya moyo kwa watoto Afrika Mashariki na Kati

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Che Mingjian, wakibadilishana Mikataba miwili ya msaada wa jumla ya Yuan za China milioni 500, sawa na shilingi bilioni 185 kwa ajili ya mradi wa upanuzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete eneo la Mloganzila kuwa Kituo cha Umahiri cha matibabu ya moyo kwa watoto Afrika Mashariki na Katipamoja na mradi wa ushirikiano wa kiuchumi na kitaalamu, hafla iliyofanyika jijini Dodoma. Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kwa niaba ya Serikali ya Tanzania na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Che Mingjian, wakitia saini Mikataba miwili ya msaada wa jumla ya Yuan za China milioni 500, sawa na shilingi bilioni 185 kwa ajili ya mradi wa upanuzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete enelo la Mloganzila kuwa Kituo cha Umahiri cha matibabu ya moyo kwa watoto Afrika Mashariki na Kati pamoja na mradi wa ushirikiano wa kiuchumi n...