JKCI na Shirika la UNA VOCE PER PADRE PIO la Italia wasaini mkataba wa kuwasaidia watoto wenye matatizo ya moyo Afrika
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge na Rais wa Shirika la UNA VOCE PER PADRE PIO la nchini Italia Palumbo Vincenzo wakibadilishana mkataba wa kuwatibu watoto wenye matatizo ya moyo barani Afrika wakati wa hafla fupi ya kusaini mkataba huo iliyofanyika leo katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge na Rais wa Shirika la UNA VOCE PER PADRE PIO la nchini Italia Palumbo Vincenzo wakionesha mkataba wa kuwatibu watoto wenye matatizo ya moyo waliopo barani Afrika wakati wa hafla fupi ya kusaini mkataba huo iliyofanyika leo katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. ************************************************************************************************************************************************************************************************************************* Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)...