Posts

Showing posts from August, 2026

Watu 1,005 wapimwa moyo na macho Arusha

Image
Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete – Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (JKCI – ALMC) Dkt. Godwin Kivuyo akimjulia hali mwananchi aliyefika katika kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza iliyokuwa ikifanyika katika Hospitali ya JKCI-ALMC na kumalizika jana jijini Arusha. Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete – Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (JKCI – ALMC) Dkt. Godwin Kivuyo akizungumza na wananchi wa mkoa wa Arusha waliofika katika kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza iliyokuwa ikifanyika katika Hospitali ya JKCI-ALMC na kumalizika jana jijini Arusha. Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete – Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (JKCI - ALMC) Beatrice Mshana akimpima joto la mwili mwananchi wa mkoa wa Arusha aliyefika katika kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza Iliyokuwa ikifanyika katika Hospitali ya JKCI-ALMC na kumalizika jana jijini Aru...

JKCI-ALMC na GSM Foundation wapongezwa kuendesha kambi ya matibabu mkoani Arusha

Image
Fundi sanifu wa moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete – Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (JKCI – ALMC) Rosemary Leonard akimpima kipimo cha kuangalia jinsi mfumo wa umeme wa moyo unavyofanya kazi (Electrocardiography – ECG) mkazi wa Arusha aliyefika katika kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza inayofanyika katika Hospitali ya JKCI-ALMC iliyopo jijini Arusha. Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete – Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (JKCI - ALMC) Fabian Bura akimpima shinikizo la damu mkazi wa Arusha aliyefika katika kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza inayofanyika katika Hospitali ya JKCI-ALMC iliyopo jijini Arusha. Daktari wa macho wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete – Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (JKCI - ALMC) Wilen Wilson akimpima kipimo cha miwani mkazi wa Arusha aliyefika katika kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza inayofanyika katika Hospitali ya JKCI-...

Kwa mara ya kwanza JKCI yafanya upasuaji wa moyo kwa mtoto wa siku mbili

Image
  Wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao kutoka mradi wa Little Heart wa Shirika la Muntada Aid   kutoka nchini Uingereza wakimfanyia upasuaji wa kuziba tundu lililopo kwenye moyo wa mtoto    wakati wa kambi maalumu ya siku sita iliyokuwa ikifanyika katika Taasisi hiyo na kumalizika jana jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakisikiliza wakati wa kuhitimisha kambi maalumu ya siku sita ya upasuaji wa moyo kwa watoto iliyokuwa ikifanywa na wataalamu wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao kutoka  mradi wa Little Heart  wa Shirika la Muntada Aid kutoka nchini Uingereza na kumalizika jana jijini Dar es Salaam Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Angela Muhozya akiwa katika picha ya pamoja na wataalamu wa afya wa JKCI na wenzao kutoka mradi wa Little Heart wa Shirika la Muntada Aid lenye makao yake nchini Uingereza mara baada ya kuhitimisha k...

Watu 200 wanufaika na huduma ya uchunguzi na matibabu ya macho Arusha

Image
Daktari bingwa wa macho wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete – Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (JKCI - ALMC) John Njelango akimpima kipimo cha kuchunguza macho mwananchi aliyefika katika kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza inayofanyika katika Hospitali hiyo iliyopo jijini Arusha. Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete – Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (JKCI - ALMC) Fabian Bura akimsaidia mkazi wa Arusha aliyefika katika kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza kwaajili ya kufanya uchunguzi wa afya inayofanyika katika Hospitali iliyopo jijini Arusha. Mhudumu wa afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete – Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (JKCI - ALMC) Ombeni Daniel akimpima joto la mwili mkazi wa Arusha aliyefika katika kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza inayofanyika katika Hospitali hiyo iliyopo jijini Arusha. Baadhi ya wananchi wa mkoa wa Arusha wakisoma vipeperush...

Asilimia 30 ya watu wenye magonjwa yasiyoambukiza wanaotibiwa JKCI hutoka Kanda ya Kaskazini

Image
Daktari wa macho wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete – Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (JKCI – ALMC) John Moteswa akimuonesha Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya GSM Foundation Faith Gugu kifaa maalum kinachotumika kufanya uchunguzi wa macho (Slit Lamp) alipotembelea kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza inayofanyika katika Hospitali ya JKCI-ALMC jijini Arusha. Kaimu Mkurugenzi wa Tiba na Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Dharura wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete – Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (JKCI – ALMC) Peter Mabula akimueleza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya GSM Foundation Faith Gugu huduma zinazotolewa katika kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza inayofanyika katika Hospitali ya JKCI-ALMC jijini Arusha. Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete – Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (JKCI – ALMC) Veronica Masandika akimpima mapigo ya moyo mwananchi aliyefika kupata huduma ya uchunguzi na matibabu ya magonj...

Watu 303 wapimwa moyo mkoani Manyara

Image
  Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Evelyne Furumbe akimpima kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography - ECHO) mtoto wakati wa kambi maalumu ya siku 5 ya uchunguzi na matibabu ya moyo ijulikanayo kama Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tiba mkoba iliyokuwa ikifanywa na wataalamu wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara (MRRH) na kimalizika hivi karibuni. Mtaalamu wa vipimo vya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Loyce Gideon akimpima kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi mkazi wa Manyara aliyefika katika kambi maalumu ya siku 5 ya uchunguzi na matibabu ya moyo ijulikanayo kama Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tiba mkoba iliyokuwa ikifanywa na wataalamu wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Manyara (MRRH) na kumalizika hivi karibuni. Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Geofrey Mohammed akiz...

Wataalamu wa JKCI wafanya ukaguzi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe (NRRH), maandalizi ya kuanzisha huduma bingwa za moyo

Image
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe (NRRH) Dkt. Gilbert Kwesi akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Uhakiki na Udhibiti Ubora kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wafanyakazi wa NRRH wakati maafisa hao walipotembelea Hospitali hiyo kwaajili ya kufanya ukaguzi wa maandalizi ya kutoa huduma bingwa za magonjwa ya moyo Mkoani Njombe. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe (NRRH) Dkt. Gilbert akizungumza na Maafisa wa Uhakiki na Udhibiti Ubora kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati maafisa hao walipotembelea Hospitali hiyo kwaajili ya kufanya ukaguzi wa maandalizi ya kutoa huduma bingwa za magonjwa ya moyo Mkoani Njombe. Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uhakiki na udhibigti ubora wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Adelphina Ncheye akielezea namna ukaguzi wa maandalizi ya huduma za matibabu ya moyo utakavyofanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Njombe (NRRH) wakati maafisa wa Uhakiki na Udhibiti Ubora kutoka JKCI walipote...

JKCI yafanya upasuaji wa moyo bila kusimamisha moyo kwa wagonjwa watano wenye matatizo ya mishipa ya damu ya moyo kuziba

Image
  Wataalamu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na daktari bingwa wa upasuaji wa moyo kutoka Hospitali ya Jaslok iliyopo Mumbai nchini India Upendra Bhalerao waki pandikiza mshipa wa damu kwenye moyo bila kusimamisha moyo (off Pump CABG) kwa mgonjwa aliyefika katika taasisi hiyo wakati wa kambi maalumu ya siku tano jijini Dar es Salaam. Wataalamu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na daktari bingwa wa upasuaji wa moyo kutoka Hospitali ya Jaslok iliyopo Mumbai nchini India Upendra Bhalerao waki pandikiza mshipa wa damu kwenye moyo bila kusimamisha moyo (off Pump CABG) kwa mgonjwa aliyefika katika taasisi hiyo wakati wa kambi maalumu ya siku tano jijini Dar es Salaam. Wataalamu kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na daktari bingwa wa upasuaji wa moyo kutoka Hospitali ya Jaslok iliyopo Mumbai nchini India Upendra Bhalerao waki pandikiza mshipa wa damu kwenye moyo bila kusimamisha moyo (off ...

JKCI yaandika historia yafanya upasuaji wa mshipa mkubwa wa damu (Aorta) kwa kutumia mtambo wa cathlab

Image
Wataalam wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na mwenzao kutoka nchini India Dkt. Gireesh Mukund Warawdekar wakifanya upasuaji wa tundu dogo kwa kutumia mtambo wa cathlab kuziba mshipa mkubwa wa damu (Aorta) ambao ulichanika kutokana na ajali raia kutoka Jamhuri ya Watu wa China. Wataalam wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na mwenzao kutoka nchini India Dkt. Gireesh Mukund Warawdekar wakifanya upasuaji wa tundu dogo kwa kutumia mtambo wa cathlab kuziba mshipa mkubwa wa damu (Aorta) ambao ulichanika kutokana na ajali raia kutoka Jamhuri ya Watu wa China. Wataalam wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na mwenzao kutoka nchini India Dkt. Gireesh Mukund Warawdekar wakifanya upasuaji wa tundu dogo kwa kutumia mtambo wa cathlab kuziba mshipa mkubwa wa damu (Aorta) ambao ulichanika kutokana na ajali raia kutoka Jamhuri ya Watu wa China. Picha Na ************************************************************************************************************************* Wataalamu wa T...