Dkt. Kisenge awapongeza Wafanyakazi JKCI, Asisitiza ufanisi na weledi kazini
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni tano Mfanyakazi Hodari wa taasisi hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026 Afisa Tawala Adila Musa wakati wa hafla ya kuwatambua na kuwapongeza wafanyakazi Hodari iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni mbili Mfanyakazi Hodari wa taasisi hiyo nafasi ya pili kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026 Mkaguzi wa Hesabu za Ndani Sitty Hamis wakati wa hafla ya kuwatambua na kuwapongeza wafanyakazi Hodari iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni moja na nusu Mfanyakazi Hodari wa taasisi hiyo nafasi ya tatu kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026 Afisa Muuguzi Edna Kajuna wakati wa hafla ya kuwatambua na kuwapongeza wafanyakazi hodari ili...