Watu 383 wachunguzwa moyo Singida
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mary Maganga akimsikiliza daktari bingwa wa magonjwa yatokanayo na kazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Elius Birago alipotembelea banda la taasisi hiyo kuangalia huduma ya uchunguzi na matibabu ya moyo zilizokuwa zinatolewa katika maonesho ya Kimataifa ya Wiki ya Usalama na Afya Mahali Pa kazi yaliyofanyika katika viwanja vya Mandewa mkoani Singida. Wananchi wa Singida wakisubiri kupata huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo zilizokuwa zinatolewa na wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) katika maonesho ya Kimataifa ya Wiki ya Usalama na Afya Mahali Pa kazi yaliyomalizika jana katika viwanja vya Mandewa mkoani Singida. ******************************************************************************************************************************************************************************************* Na Jeremiah Ombelo - Singida...