Posts

Showing posts with the label Kupima moyo

Shinyanga waitwa kupima moyo

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi zawadi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga alipomtembelea ofisini kwake leo kabla ya kuanza kwa kambi maalumu ya siku tano ya  Tiba Mkoba ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Outreach Services inayofanyika katika  Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga (SRRH). Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimsikiliza mwananchi aliyefika  katika  Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga (SRRH) kwaajili ya kupata huduma za upimaji na matibabu ya moyo. Kushoto ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Shinyanga (SRRH) Dkt. Luzila Boshi akifuatiwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga (RMO) Dkt. Yudas Ndungile. ***************************************************************************************************************************** Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi zawadi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga ali...

JKCI yawapa siku nane wananchi Dodoma kupima moyo bure

Image
Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Aisha Ally Said akimwelekeza namna ambavyo mishipa ya damu ya moyo inavyoweza kuziba Mpiga Picha Mwandamizi wa magazeti Deus Mhagale alipotembelea banda la taasisi hiyo hivi karibuni kwa ajili ya kupata huduma za upimaji wa magonjwa ya moyo zilizokuwa zinatolewa katika viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma. Afisa Utafiti wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Makrina Komba akimkabidhi folder lenye taarifa za Taasisi hiyo Mpiga Picha Mwandamizi wa magazeti Richard Mwaikenda alipotembelea banda la taasisi hiyo hivi karibuni kwa ajili ya kupata huduma za upimaji wa magonjwa ya moyo zilizokuwa zinatolewa katika viwanja vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma. ************************************************************************************************************************************************************************************** Na Shose Romwald - JKCI  Wataalamu wa   Taasi...