Msumbiji kushirikiana na JKCI katika tiba ya moyo
.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi tuzo ya kumshukuru Mke wa Rais wa Msumbiji Mhe. Mama Gueta Selemane Chapo kwa kutembelea taasisi hiyo na kuahidi kushirikiana nayo katika kutoa tiba ya magonjwa ya moyo alipotembelea taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuona huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi zawadi Mke wa Rais wa Msumbiji Mhe. Mama Gueta Selemane Chapo mara baada ya kumaliza ziara yake ya kutembelea taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuona huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa. Mke wa Rais wa Msumbiji Mhe. Mama Gueta Selemane Chapo akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge mara baada ya kumaliza ziara yake ya kutembelea taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuona huduma za matibabu ya moyo zinazotolew...