JKCI na TBS waungana kuboresha Afya ya Wafanyakazi kupitia upimaji wa Moyo


Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Agnes Kajangwa akimpima kiwango cha sukari kwenye damu Mkurugenzi wa Uandaaji Viwango wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) David Ndibalema Lugome wakati wa kambi maalumu ya upimaji wa magonjwa ya moyo iliyolenga kuongeza uelewa kuhusu magonjwa hayo na njia za kujikinga ili kuboresha afya na ufanisi kazini kwa wafanyazi wa shirika hilo. Jumla ya Wafanyakazi 68 walipata huduma ambapo nane kati yao walipewa rufaa ya kwenda kutibiwa katika Tawi la JKCI Oysterbay.

Afisa Masoko wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Agness Mndasha akimkabidhi vipeperushi vya taasisi hiyo Afisa Utumishi Mwandamizi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Mariam Mbarouk wakati wa kambi maalumu ya upimaji wa magonjwa ya moyo iliyolenga kuongeza uelewa kuhusu magonjwa hayo na njia za kujikinga ili kuboresha afya na ufanisi kazini kwa wafanyazi wa shirika hilo. Jumla ya Wafanyakazi 68 walipata huduma ambapo nane kati yao walipewa rufaa ya kwenda kutibiwa katika Tawi la JKCI Oysterbay.

Daktari Bingwa wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) DMonica Kaganda akimsomea ya vipimo vya moyo Mwandishi Mwendesha Ofisi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Latifa Shamte wakati wa kambi maalumu ya upimaji wa magonjwa ya moyo iliyolenga kuongeza uelewa kuhusu magonjwa hayo na njia za kujikinga ili kuboresha afya na ufanisi kazini kwa wafanyazi wa shirika hilo. Jumla ya Wafanyakazi 68 walipata huduma ambapo nane kati yao walipewa rufaa ya kwenda kutibiwa katika Tawi la JKCI Oysterbay.

Daktari Bingwa wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Theophilly Mushi akimfanyia kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi Mfanyakazi wa  Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakati wa kambi maalumu ya upimaji wa magonjwa ya moyo iliyolenga kuongeza uelewa kuhusu magonjwa hayo na njia za kujikinga ili kuboresha afya na ufanisi kazini kwa wafanyazi wa shirika hilo. Jumla ya Wafanyakazi 68 walipata huduma ambapo nane kati yao walipewa rufaa ya kwenda kutibiwa katika Tawi la JKCI Oysterbay.

Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Agnes Kajangwa akimpima shinikizo la damu Afisa Viwango Mwandamizi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Idara ya Uandaaji Viwango Daniel Lugome wakati wa kambi maalumu ya upimaji wa magonjwa ya moyo iliyolenga kuongeza uelewa kuhusu magonjwa hayo na njia za kujikinga ili kuboresha afya na ufanisi kazini kwa wafanyazi wa shirika hilo. Jumla ya Wafanyakazi 68 walipata huduma ambapo nane kati yao walipewa rufaa ya kwenda kutibiwa katika Tawi la JKCI Oysterbay.

Comments

Popular posts from this blog

Wanawake waaswa kulinda mioyo yao, kuepuka sukari na chumvi kupita kiasi

Kutoka miaka 22 hadi kustaafu: Safari ya Lemmah yatoa somo kwa Watumishi wa Umma