Posts

Showing posts from 2026

Wataalamu wa afya kutoka nchini Tanzania, Kenya, Eswatini Botswana na Malawi washiriki mafunzo ya uchunguzi wa magonjwa ya moyo kwa watoto

Image
  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Naizihijwa Majani akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku kumi ya uchunguzi wa magonjwa ya moyo kwa watoto (Paediatric Echocardiography) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Engerasia Kifai akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya uchunguzi wa magonjwa ya moyo kwa watoto (Paediatric Echocardiography) uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wataalamu wanaoshiriki mafunzo ya uchunguzi wa magonjwa ya moyo kwa watoto (Paediatric Echocardiography) yanayotolewa na wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakisikiliza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Naizihijwa Ma...

JKCI yapeleka huduma za moyo ndani ya Treni ya SGR kwa mara ya kwanza

Image
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Yvone Mushi akimsomea majibu ya kipimo cha shinikizo la damu (BP) abiria aliyesafiri na treni ya mwendokasi (SGR) wakati wa kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo inayofanyika katika treni hiyo katika kuadhimisha siku ya moyo duniani ambayo uadhimishwa kila ifikapo tarehe 29 mwezi Septemba. Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Agnes Lugendo akimuuliza maswali ya ufahamu abiria aliyesafiri na treni ya mwendokasi (SGR) wakati wa kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo inayofanyika katika treni hiyo katika kuadhimisha siku ya moyo duniani ambayo uadhimishwa kila ifikapo tarehe 29 mwezi Septemba. Fundi sanifu wa moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Yatimuni Mushi akimpima jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography – ECHO) abiria aliyesafiri na treni ya mwendokasi (SGR) wakati wa kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo inayofanyika katika treni hiyo ka...

Tanzania, China zasaini mkataba wa ujenzi wa hospitali mpya ya JKCI Mloganzila

Image
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe na Balozi wa Jamhuri wa Watu wa China Mhe. Chen Mingjian wakionesha mkataba wa utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa upanuzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Mkataba huo umesainiwa leo katika ukumbi wa mikutano wa JKCI iliyopo jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe na Balozi wa Jamhuri wa Watu wa China Mhe. Chen Mingjian wakisaini mkataba wa utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa upanuzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Mkataba huo umesainiwa leo katika ukumbi wa mikutano wa JKCI iliyopo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini mkataba wa utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa upanuzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Hassan...

Kwa mara ya kwanza abiria wanaosafiri na treni ya SGR kunufaika na huduma za uchunguzi wa magonjwa ya moyo

Image
  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo itakayofanywa kwa abiria wanaotumia treni ya SGR katika kuadhimisha siku ya moyo duniani. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Mhandisi Machibya Shiwa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo itakayofanywa kwa abiria wanaotumia treni ya SGR katika kuadhimisha siku ya moyo duniani Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwa   katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Mhandisi Machibya Shiwa wakati wa uzinduzi wa kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo itakayofanywa kwa abiria wanaotumia treni ya   SGR katika kuadhimisha siku ya moyo duniani. Picha na JKCI ******************************************...

Wahitimu 15 wa mafunzo ya kuhudumia wagonjwa wa dharura kutumia ujuzi walioupata kuokoa maisha

Image
 Mkurugenzi wa upasuaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Angela Muhozya na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Huduma kwa Umma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Zawadi George wakiwa katika picha ya pamoja na wauguzi waliohitimu mafunzo ya miezi sita ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi wakati wa hafla fupi ya kuhitimisha mafunzo hayo iliyofanyika katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. Jumla ya wauguzi 15 kutoka nchi za Tanzania, Rwanda na Zambia wamehitimu mafunzo hayo .  Mkurugenzi wa upasuaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Angela Muhozya akimpatia cheti muuguzi ambeye amehitimu mafunzo ya miezi sita ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi kutoka Hospital ya King Faisal Rwanda Alphonse Nsabimana wakati wa hafla fupi ya kuhitimisha mafunzo hayo iliyofanyika katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. Jumla ya wauguzi 15 kutoka nchi za Tanzania, Rwanda na Zambia wamehitimu mafunzo hayo. Mkurugenzi wa upasuaji w...

JKCI yawataka wanamichezo, mashabiki kuchunguza afya ya moyo kuepuka vifo vya ghafla

Image
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Samuel Rweyemamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group na Makamu wa Rais wa Timu ya Mpira wa Miguu wa Azam FC Abdulkarimu Popat pamoja wakijadili namna wataweza kuboresha ushirikiano baina yao baada ya kutembelea taasisi hiyo jijini Dar es Salaam. Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Gudila Swai akimpima mapigo ya moyo Diwani wa Kata ya Vingunguti na Meya Mstaafu wa jiji la Dar es Salaam Mhe. Omar Kumbilamoto aliyefika katika kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya moyo kwa mashabiki wa timu ya mpira wa miguu Azam FC iliyofanyika katika viwanja vya Hospitali hiyo jijini Dar es Salaam Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Helman Nicolaus akimpima kiwango cha sukari kwenye damu shabiki aliyefika katika kambi maalumu ya uchunguzi na matibabu ya moyo kwa mashabiki wa timu ya mpira wa miguu wa Azam FC iliyofanyika katika viwanja vya Hospitali hiyo jij...

Watoto 29 wafanyiwa upasuaji wa moyo JKCI

Image
Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Dar Group Dkt. Tulizo Shemu na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania, Mhe. Yahya Ahmad wakiwa katika picha ya pamoja na wataalamu kutoka Kituo cha King Salman Humanitarian Aid and Relief Center cha nchini Saud Arabia wakati wa hafla fupi ya kuhitimisha kambi maalumu ya upasuajia wa moyo kwa watoto iliyomalizika jana katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. Jumla ya watoto 29 wamefanyiwa upasuaji wa moyo Mkurugenzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group Dkt. Tulizo Shemu na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya Ahmad wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa JKCI wakati wa hafla fupi ya kuhitimisha kambi maalumu ya upasuajia wa moyo kwa watoto iliyomalizika jana katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. Jumla ya watoto 29 wamefanyiwa upasuaji wa moyo   Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya Ahmad akizungumza wakati wa hafla fupi ya kuhiti...

DC Ubungo, msanii wa mziki G Nako wahamasisha wananchi kujua Namba Zao za Afya

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimpima shinikizo la damu msanii wa Bongo Fleva George Mdemu almaarufu kama G Nako alipofika katika Taasisi hiyo tawi la Oysterbay kwaajili ya kufanya uchunguzi wa afya.  Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Albert Msando pamoja na msanii wa bongo fleva George Mdemu almaarufu kama G Nako alipofika katika Taasisi hiyo tawi la Oysterbay kwaajili ya kufanya uchunguzi wa afya.  Mtaalamu wa Maabara wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) tawi la Osterbay Jesca Mlay akimtoa damu msanii wa bongo fleva George Mdemu maarufu kama G Nako alipofika katika Taasisi hiyo tawi la Oysterbay kwaajili ya kufanya uchunguzi wa afya.  Picha Na JKCI *************************************************************************************************************************************************************** Mkuu wa Wilaya ya Ubu...

JKCI, King Salman wafanikisha upasuaji wa moyo kwa watoto 16 kwa siku tatu

Image
Mtaalam wa kuendesha mashine ya kusaidia moyo na mapafu kufanya kazi kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Sophia Lukonge akiendesha mashine hiyo wakati wa kambi maalum ya upasuaji wa moyo kwa watoto inayofanywa na wataalam wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao kutoka kituo cha King Salman Humanitarian and Relief cha nchini Saudi Arabia. Wataalam wa upasuaji wa moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa kituo cha King Salman Humanitarian Aid and Relief cha nchini Saudi Arabia wakimfanyia upasuaji wa moyo mtoto mwenye tundu lililopo kwenye moyo wakati wa kambi maalum ya matibabu inayoendelea katika Taasisi hiyo. Jumla ya watoto 30 wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji katika kambi hiyo.             Picha na JKCI ***********************************************************************                                          ...