JKCI yapokea tuzo Mkutano Mkuu wa Utumishi wa Umma Arusha

Waziri Ofisi ya Rais, Menenjiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge tuzo ya mdhamini mkuu wa Mkutano wa pili Jumuishi wa Jumuiya za Wataalamu wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu katika Utumishi wa Umma Tanzania unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).

Waziri Ofisi ya Rais, Menenjiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akimkabidhi cheti mfanyakazi bora wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Afisa Utawala Adila Lugamara wakati wa Mkutano wa pili Jumuishi wa Jumuiya za Wataalamu wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu katika Utumishi wa Umma Tanzania unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).

Waziri Ofisi ya Rais, Menenjiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge tuzo ya mtoa mada wakati wa Mkutano wa pili Jumuishi wa Jumuiya za Wataalamu wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu katika Utumishi wa Umma Tanzania unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).

Waziri Ofisi ya Rais, Menenjiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wa Mkutano wa pili Jumuishi wa Jumuiya za Wataalamu wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu katika Utumishi wa Umma Tanzania unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).

Baadhi ya Maafisa Utawala na Rasilimali Watu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia mada zinazoendelea katika Mkutano wa pili Jumuishi wa Jumuiya za Wataalamu wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu katika Utumishi wa Umma Tanzania unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa Utawala na Rasilimali Watu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa Mkutano wa pili Jumuishi wa Jumuiya za Wataalamu wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu katika Utumishi wa Umma Tanzania unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC).

Picha na JKCI

*********************************************************************************************

 

Comments

Popular posts from this blog

Wanawake waaswa kulinda mioyo yao, kuepuka sukari na chumvi kupita kiasi

Kutoka miaka 22 hadi kustaafu: Safari ya Lemmah yatoa somo kwa Watumishi wa Umma