Prof. Janabi afungua mafunzo ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi


Daktari bingwa wa mifupa ambaye pia ni Mkufunzi kutoka kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharura (Emergency Medicine Services Academy - EMSA) Sylvester Faya  akiwafundisha washiriki wa mafunzo ya siku mbili ya jinsi ya kumuhudumia mgonjwa  wa dharura na mahututi yanayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam. Washiriki wa mafunzo hayo ni waganga na wauguzi wafawidhi kutoka hospitali mbalimbali hapa nchini.

Washiriki wa  mafunzo  ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa  wa dharura na mahututi yaliyoandaliwa na  kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharura (Emergency Medicine Services Academy - EMSA) yanayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam wakijifunza kwa vitendo jinsi ya kuwahudumia wagonjwa hao . Washiriki wa mafunzo hayo ya siku mbili ni waganga na wauguzi wafawidhi kutoka hospitali mbalimbali hapa nchini.


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akifungua mafunzo ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa  wa dharura na mahututi yaliyoandaliwa na  kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharura (Emergency Medicine Services Academy - EMSA) yanayofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam. Washiriki wa mafunzo hayo ni waganga na wauguzi wafawidhi kutoka hospitali mbalimbali hapa nchini.

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa