Diaspora yaahidi kushirikiana na Afrika katika kuboresha huduma za afya
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi
akizungumza na aliyekuwa mwakilishi wa umoja wa Afrika nchini Marekani ambaye
pia ni mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Waafrika wanaoishi Marekani (Diaspora
– ADDI) Balozi Arikana Chihombori – Quao alipotembelea Taasisi hiyo kwa ajili
ya kuangalia huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa leo Jijini Dar es Salaam
Aliyekuwa mwakilishi wa umoja wa Afrika nchini
Marekani ambaye pia ni mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Waafrika
wanaoishi Marekani (Diaspora – ADDI) Balozi Arikana Chihombori – Quao akimjulia
hali mtoto aliyelazwa katika wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo
alipotembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa ajili ya kuangalia
huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa na Taasisi hiyo leo Jijini Dar es
Salaam
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya
Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tulizo Shem akimwelezea aliyekuwa mwakilishi wa
umoja wa Afrika nchini Marekani ambaye pia ni mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa
Taasisi ya Waafrika wanaoishi Marekani (Diaspora – ADDI) Balozi Arikana
Chihombori – Quao huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa kwa wagonjwa baada ya
balozi huyo kutembelea moja ya chumba cha kliniki wakati wa ziara yake kuangalia
huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa na Taasisi hiyo leo Jijini Dar es
Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi katika picha ya pamoja na aliyekuwa
mwakilishi wa umoja wa Afrika nchini Marekani ambaye pia ni mwanzilishi na
Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Waafrika wanaoishi Marekani (Diaspora – ADDI) Balozi
Arikana Chihombori – Quao baada ya kufanya ziara katika Taasisi hiyo kwa ajili
ya kuangalia huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa leo Jijini Dar es Salaam
Comments
Post a Comment