Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi azungumza na wagonjwa wanaotibiwa katika Taasisi hiyo
Mkurugenzi Mtendaji
wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza na
wazazi kuhusu umuhimu wa kufanya kipimo cha kuchunguza moyo wa mtoto aliyepo
tumboni kwa wamama wajawazito (Fetal Echocardiogram). Wazazi hao walifika katika Taasisi hiyo leo kwa
ajili ya kuwaleta watoto wanaotibiwa Jkci kliniki.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwaeleza madhara ya mafuta mwilini wagonjwa waliokuwa wanasubiri kufanyiwa
vipimo vya kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiogram - ECHO) na Umeme wa moyo (Electrocardiogram – ECG) wanaotibiwa katika Taasisi hiyo.
Comments
Post a Comment