Wachezaji wawili wa klabu ya Yanga wafanyiwa vipimo vya moyo kabla ya kupatiwa leseni ya kujiunga na timu hiyo
Fundi sanifu wa moyo (Cardiovascular technologist) wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Paschal Kondi akimpima kipimo cha kuangalia jinsi mfumo wa umeme wa moyo unavyofanya kazi (Electrocardiography – ECG) mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Yanga Aboutwaleeb Mshery wakati wachezaji wawili wa timu hiyo walipofika katika Taasisi hiyo kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa afya ya moyo kabla ya kupata leseni ya kujiunga na timu hiyo Radiografa wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Indrisa Juma akimpima X-ray ya kifua ili kuchunguza moyo na mapafu mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Yanga Salum Salum (Sureboy) wakati wachezaji wawili wa timu hiyo walipofika katika Taasisi hiyo jana kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa afya ya moyo kabla ya kupata leseni ya kujiunga na timu hiyo Mtaalam wa maabara wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Jordan Megabe akimtoa damu mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Yanga Aboutwaleeb Mshery wakati wachezaji wawili wa timu hiyo walipofika katika Taasi