Viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wahitimu mafunzo ya ngazi ya juu ya Ukurugenzi (Mastery Directorship)
Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. William Mahalu akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Taasisi hiyo walioshiriki mafunzo ya ngazi ya juu ya Ukurugenzi (Mastery Directorship) yaliyoandaliwa na Taasisi ya wakurugenzi Tanzania(Institute of Directors in Tanzania) kulia kwake ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo Said Kambi.
Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Wakurugenzi Tanzania (Institute of Directors in Tanzania) Said Kambi akimkabidhi Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. William Mahalu cheti cha kuhitimu mafunzo ya ngazi ya juu ya Ukurugenzi (Mastery Directorship) yalifanyika hivi karibuni katika Hoteli za Malaika na Aden Palace zilizopo jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. William Mahalu akimkabidhi Mkurugenzi wa Uuguzi wa Taasisi hiyo Robert Mallya cheti cha kuhitimu mafunzo ya ngazi ya juu ya Ukurugenzi (Mastery Directorship) yaliyoandaliwa na Taasisi ya wakurugenzi Tanzania (Institute of Directors in Tanzania). Mafunzo hayo ya siku tatu yalifanyika hivi karibuni katika Hoteli za Malaika na Aden Palace zilizopo jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. William Mahalu akimkabidhi Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano wa Taasisi hiyo Anna Nkinda cheti cha kuhitimu mafunzo ya ngazi ya juu ya Ukurugenzi (Mastery Directorship) yaliyoandaliwa na Taasisi ya wakurugenzi Tanzania (Institute of Directors in Tanzania). Mafunzo hayo ya siku tatu yalifanyika hivi karibuni katika Hoteli za Malaika na Aden Palace zilizopo jijini Mwanza.
Mkuu wa Kitengo cha Sheria na Katibu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Adv. Maulid Kikondo akipokea cheti kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya taasisi hiyo Prof. William Mahalu mara baada ya kuhitimu mafunzo ya ngazi ya juu ya Ukurugenzi (Mastery Directorship) yaliyoandaliwa na Taasisi ya wakurugenzi Tanzania(Institute of Directors in Tanzania). Mafunzo hayo ya siku tatu yalifanyika hivi karibuni katika Hoteli za Malaika na Aden Palace zilizopo jijini Mwanza
Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi wa ubora wa huduma wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Naiz Majani akipokea cheti kutoka kwa Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya taasisi hiyo Prof. William Mahalu mara baada ya kuhitimu mafunzo ya ngazi ya juu ya Ukurugenzi (Mastery Directorship) yaliyoandaliwa na Taasisi ya wakurugenzi Tanzania (Institute of Directors in Tanzania) . Mafunzo hayo ya siku tatu yalifanyika hivi karibuni katika Hoteli za Malaika na Aden Palace zilizopo jijini Mwanza.
Comments
Post a Comment