Kampuni ya Vunja bei yatoa zawadi za vyombo kwa wafayakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

 


Mkurugenzi wa Kampuni ya Vunja bei Shija Kamanija akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) mara baada ya kufika katika taasisi hiyo kwa ajili ya kuwapa zawadi za vyombo na kuwauzia bidhaa hizo kwa bei naafuu. Kampuni hiyo ilifanya hivyo ikiwa ni moja ya njia ya kufikisha huduma wanayoitoa kiurahisi kwa wafanyakazi hao pamoja na kuwapa motisha ya kazi wanayoifanya ya kutibu wagonjwa wenye matatizo ya moyo.


Mkurugenzi wa Kampuni ya Vunja bei Shija Kamanija akimpa zawadi ya boxi lenye glasi za kuywea juice Dominick Kanani  ambaye ni mfanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) mara baada ya kufika katika taasisi hiyo  kwa ajili ya kutoa  zawadi za vyombo na kuwauzia wafanyakazi bidhaa hizo kwa bei naafuu. Kampuni hiyo ilifanya hivyo ikiwa ni moja ya njia ya kufikisha huduma wanayoitoa kiurahisi kwa wafanyakazi hao pamoja na kuwapa motisha ya kazi wanayoifanya ya kutibu wagonjwa wenye matatizo ya moyo.

                                                                                                                       

Mkurugenzi wa Kampuni ya Vunja bei Shija Kamanija akimpa zawadi ya boxi lenye glasi za kuywea juice Vida Mushi  ambaye ni mfanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) mara baada ya kufika katika taasisi hiyo jana kwa ajili ya kutoa  zawadi za vyombo na kuwauzia wafanyakazi bidhaa hizo kwa bei naafuu. Kampuni hiyo ilifanya hivyo ikiwa ni moja ya njia ya kufikisha huduma wanayoitoa kiurahisi kwa wafanyakazi hao pamoja na kuwapa motisha ya kazi wanayoifanya ya kutibu wagonjwa wenye matatizo ya moyo.

 

Mkurugenzi wa Kampuni ya Vunjabei ShijaKamanija akimpa zawadi ya vikombe vya chai Rebecca Kengele ambaye ni mfanyakazi wa TaasisiyaMoyoJakayaKikwete (JKCI) mara baada ya kufika katika taasisi hiyo jana kwaajili ya kutoa zawadi za vyombo na kuwauzia wafanyakazi bidhaa hizo kwa bei naafuu. Kampuni hiyo ilifanya hivyo ikiwani moja ya njia ya kufikisha huduma wanayoitoa kiurahisi kwa wafanyakazi hao pamoja na kuwapa motisha yakazi wanayoifanya ya kutibu wagonjwa wenye matatizo ya moyo.



Mkurugenzi wa Kampuni ya Vunjabei Shija Kamanija akimkabidhi zawadi ya kifaa cha  kuwekewa takataka Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi mara baada ya kufika katika taasisi hiyo  kwa ajili ya kutoa zawadi za vyombo na kuwauzia wafanyakazi bidhaa hizo kwa bei naafuu. Kampuni hiyo imetoa vifaa vya kuwekea taka pamoja na vyombo ambavyo vitatumika katika maeneo mbalimbali ya Taasisi hiyo.



Mkurugenzi wa Kampuni ya Vunja bei Shija Kamanija akimkabidhi zawadi ya masufuria ya kupikia  Mkurugenzi wa kurugenzi ya Utawala na Fedha wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) CPA Agnes Kuhenga alipofika katika  taasisi hiyo  kwa ajili ya kutoa  zawadi za vyombo na kuwauzia wafanyakazi bidhaa hizo kwa bei naafuu. Kampuni hiyo pia imetoa zawadi za vifaa vya kuwekea taka pamoja na vyombo  ambavyo vitatumika katika maeneo mbalimbali ya Taasisi hiyo.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Vunja bei Shija Kamanija akimkabidhi zawadi ya mashine ya kutengeneza juisi za matunda Mwanasheria wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Maulid Kikondo alipofika katika  taasisi hiyo kwa ajili ya kutoa  zawadi za vyombo pamoja na kuwauzia wafanyakazi bidhaa hizo kwa bei naafuu. Kampuni hiyo pia imetoa zawadi za vifaa vya kuwekea taka pamoja na vyombo  ambavyo vitatumika katika maeneo mbalimbali ya Taasisi hiyo.


Mkurugenzi wa Kampuni ya Vunja bei Shija Kamanija akimkabidhi zawadi ya micro wave Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi mara baada ya kufika katika taasisi hiyo  kwa ajili ya kutoa  zawadi za vyombo na kuwauzia wafanyakazi bidhaa hizo kwa bei naafuu. Kampuni hiyo ilitoa zawadi za vyombo kwa Taasisi na  wafanyakazi ikiwa ni moja ya njia ya kufikisha huduma wanayoitoa kiurahisi kwa wafanyakazi hao pamoja na kuwapa motisha ya kazi wanayoifanya ya kutibu wagonjwa wenye matatizo ya moyo.


Mkurugenzi wa Kampuni ya Vunja bei Shija Kamanija akimpa zawadi ya sahani za chakula Polycarp France  ambaye ni mfanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) mara baada ya kufika katika taasisi hiyo  kwa ajili ya kutoa  zawadi za vyombo na kuwauzia wafanyakazi bidhaa hizo kwa bei naafuu. Kampuni hiyo ilifanya hivyo ikiwa ni moja ya njia ya kufikisha huduma wanayoitoa kiurahisi kwa wafanyakazi hao pamoja na kuwapa motisha ya kazi wanayoifanya ya kutibu wagonjwa wenye matatizo ya moyo.

Comments

Popular posts from this blog

Wataalamu wa JKCI kufanya upasuaji wa moyo nchini Zambia

JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

JKCI yamshukuru Rais Dkt.Samia kwa kuwapa magari