Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) washiriki futari ya pamoja iliyoandaliwa na Kurugenzi ya Tiba Shirikishi


Mfanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete  (JKCI) Fathiya Mustafa akiomba dua ya chakula wakati wa futari iliyoandaliwa na Kurugenzi ya Tiba Shirikishi jana Jijini Dar es Salaam. Kila mwaka wakati wa Ramadhani Kurugenzi tano za Taasisi hiyo zinaandaa futari kwa nyakati tofauti kwa ajili ya wafanyakazi wa Taasisi hiyo




Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete  (JKCI) wakichukua chakula wakati wa futari ya pamoja iliyoandaliwa na Kurugenzi ya Tiba Shirikishi jana Jijini Dar es Salaam. Kila mwaka wakati wa Ramadhani Kurugenzi tano za Taasisi hiyo zinaandaa futari kwa nyakati tofauti kwa ajili ya wafanyakazi wa Taasisi hiyo





 Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete  (JKCI) wakila futari iliyoandaliwa na Kurugenzi ya Tiba Shirikishi jana Jijini Dar es Salaam. Kila mwaka wakati wa Ramadhani Kurugenzi tano za Taasisi hiyo zinaandaa futari kwa nyakati tofauti kwa ajili ya wafanyakazi wa Taasisi hiyo

 

Comments

Popular posts from this blog

JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

JKCI yapata tuzo ya taasisi ambayo imetoa mchango wa kipekee kiuchumi na kijamii katika kuleta matokeo makubwa kwa kipindi cha mwaka 2023/2024

Wafanyakazi waliohama JKCI waagwa