Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) waungana na wafanyakazi wengine nchini kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani


Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) katika picha ya pamoja kabla ya kuondoka katika Taasisi hiyo kuelekea kwenye maandamano ya kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani iliyofanyika kitaifa Jijini Mwanza na kusherehekewa na wafanyakazi wa mkoa wa Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru leo Jijini Dar es Salaam


Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika lango kuu la kuingia katika Uwanja wa Uhuru wakati wa maandamano ya kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani iliyoadhimishwa kitaifa Jijini Mwanza na kusherehekewa na wafanyakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru Leo Jijini Dar es Salaam


Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiandamana wakati wa maandamano ya kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani iliyoadhimishwa kitaifa Jijini Mwanza na kusherehekewa na wafanyakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru Leo Jijini Dar es Salaam

 Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) katika picha ya pamoja baada ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani iliyofanyika kitaifa Jijini Mwanza na kusherehekewa na wafanyakazi wa mkoa wa Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru leo Jijini Dar es Salaam

Na: JKCI

 

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa