Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) waungana na wafanyakazi wengine kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani leo katika Uwanja wa Uhuru iliyoadhimishwa kitaifa Jijini Dodoma na kusherehekewa na wafanyakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) katika picha ya pamoja baada ya maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani iliyofanyika kitaifa Jijini Dodoma leo na kusherehekewa na wafanyakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam katika Uwanja wa Uhuru
Picha na: JKCI
Comments
Post a Comment