Wafanyakazi wa JKCI wafuturu kwa pamoja
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge
akizungumza na wafanyakazi wa Taasisi hiyo wakati wa futari ya pamoja iliyofanyika
jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo
Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika foleni ya kuchukua futari iliyoandaliwa na
Taasisi hiyo jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuturu wakati wa
futari iliyoandaliwa na Taasisi hiyo jana jijini Dar es Salaam.
Picha
na: Hamis Mussa
***********************************************************************************************
Comments
Post a Comment