Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yafanya upimaji wa viashiria vya magonjwa ya moyo pamoja na kutoa uelewa wa magojwa hayo katika mkutano wa walimu wakuu wa shule za sekondari nchini unaofanyika jijini Dodoma
Baadhi ya
walimu wakuu wa shule za Sekondari nchini wakimsikiliza Prof. Mohamed Janabi
wakati akitoa mada kuhusu magojwa ya moyo na jinsi ya kuyaepuka wakati wa mkutano mkuu wa walimu hao uliofanyika katika
ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete uliopo jijini Dodoma. JKCI imeshiriki katika
mkutano huo kwa kufanya upimaji wa viashiria vya magonjwa ya moyo pamoja na kutoa uelewa (awareness) wa magojwa hayo.
Wafanyakazi
wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
wakiwapima walimu wakuu wa shule za Sekondari nchini viashiria vya magonjwa ya
moyo wakati wa mkutano wa walimu hao uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa
Jakaya Kikwete uliopo jijini Dodoma. JKCI imeshiriki katika mkutano huo kwa
kufanya upimaji wa viashiria vya magonjwa ya moyo pamoja na kutoa uelewa (awareness) wa magojwa hayo.
Wafanyakazi
wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi
wakiwapima walimu wakuu wa shule za Sekondari nchini viashiria vya magonjwa ya
moyo wakati wa mkutano wa walimu hao uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa
Jakaya Kikwete uliopo jijini Dodoma. JKCI imeshiriki katika mkutano huo kwa
kufanya upimaji wa viashiria vya magonjwa ya moyo pamoja na kutoa uelewa (awareness) wa magojwa hayo.
Mfanyakazi wa
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) David Mtoka akimwelekeza mwalimu mkuu wa shule
ya sekondari namna ya kujaza fomu ili aweze kupimwa viashiria vya magojwa ya
moyo wakati wa mkutano wa walimu hao unaofanyika jijini Dodoma. JKCI imeshiriki
katika mkutano huo kwa kufanya upimaji wa viashiria vya magonjwa ya moyo pamoja na kutoa uelewa (awareness) wa magojwa hayo.
Afisa Uuguzi
wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Mohamed Wamara akiwaelekeza madhara ya
uwiano wa uzito na urefu kutolingana baadhi
ya walimu wakuu wa shule za sekondari nchini
waliofika katika banda la Taasisi hiyo kwa ajili ya kupima viashiria vya
magojwa ya moyo wakati wa mkutao wa walimu hao unaofanyika jijini Dodoma. JKCI
imeshiriki katika mkutano huo kwa
kufanya upimaji wa viashiria vya magonjwa ya moyo pamoja na kutoa uelewa (awareness) wa magojwa hayo.
Comments
Post a Comment