Wafanyakazi bora wa JKCI wapongezwa
Mfanyakazi bora wa robo ya kwanza ya mwaka wa
fedha 2021/2022 aliyeshika nafasi ya kwanza Joshua Ogutu akiunganisha vifaa kwa ajili ya kuwasha mashine ya
kumsaidia mgonjwa kupumua (Ventilator) ikiwa ni moja ya majukumu yake ya kazi
za kila siku
Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kiwete (JKCI) Hildergurd
Karau akipokea cheti kwa niaba ya Mfanyakazi bora wa robo ya kwanza ya mwaka wa
fedha 2021/2022 aliyeshika nafasi ya pili Afisa muuguzi Mohamed Wamara kutoka
kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt.
Delilah Kimambo wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza wafanyakazi bora leo Jijini
Dar es Salaam.
Mfanyakazi bora wa robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2021/2022 aliyeshika nafasi ya tatu Kelvin Manyanga akipokea cheti cha mfanyakazi bora kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delilah Kimambo wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza wafanyakazi hao iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Comments
Post a Comment