Bodi ya Wadhamini ya JKCI yafanya kikao maalumu, yapitia mpango mkakati wa mwaka 2026/2031

Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na Viongozi wa Menejimenti wa Taasisi hiyo wakisikiliza wakati wa kikao maalumu cha Bodi kilichofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Hassan Mahmoud Mshinda akiongoza kikao maalumu cha Bodi hiyo kilichofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa JKCI iliyopo jijini Dar es Salaam.

Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) CPA. Godfrey Kilenga akichangia mada wakati wa kikao maalumu cha Bodi hiyo kilichofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa JKCI iliyopo jijini Dar es Salaam.

Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Dkt. Delilah Kimambo akichangia mada wakati wa kikao maalumu cha bodi hiyo kilichofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Taaisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.

Katibu wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Dkt. Peter Kisenge akielezea mpango mkakati wa mwaka 2026/2031 wa Taasisi hiyo kwa wajumbe wa Bodi ya Wadhamini wakati wa kikao maalumu cha Bodi hiyo kilichofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuatilia mada zilizokuwa zikiendelea wakati wa kikao maalumu cha Bodi hiyo kilichofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa JKCI iliyopo jijini Dar es Salaam.

Na JKCI

******************************************************************************************



 

Comments

Popular posts from this blog

Serikali yazindua kitabu safari ya upandikizaji wa moyo Tanzania, JKCI yaweka historia mpya ya huduma za kibobezi

Kutoka miaka 22 hadi kustaafu: Safari ya Lemmah yatoa somo kwa Watumishi wa Umma