Wagonjwa wa moyo kutoka Comoro wapatiwa matibabu ya moyo JKCI


 

Wataalamu wabobezi wa magonjwa ya moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimzibua mshipa wa damu wa upande wa kulia unaopeleka damu kwenye moyo mgonjwa  kutoka Comoro ambaye mshipa wake wa damu ulikua umeziba kwa asilimia 80.
 

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa