Wafanyakazi bora wa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/2022 wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapongezwa kwa utendaji mzuri wa kazi

Mfanyakazi bora wa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/2022 aliyeshika nafasi ya kwanza Dkt. Winnie Masakuya akipokea zawadi ya ngao kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza wafanyakazi bora leo katika Ukumbi wa Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam

Mfanyakazi bora wa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/2022 aliyeshika nafasi ya pili Radiographer Idris Juta akipokea cheti cha mfanyakazi bora kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza wafanyakazi bora leo katika Ukumbi wa Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam.

Mfanyakazi bora wa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2021/2022 aliyeshika nafasi ya tatu Edna Sanga akipokea cheti cha mfanyakazi bora kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza wafanyakazi hao iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam.


 

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa