Kuelekea siku ya Wanawake Duniani Wanawake wa JKCI wawafanyia upimaji wa viashiria vya magonjwa ya moyo Wanawake wa BAPS Charity
Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Happy Sanga akimpima uzito, urefu na uwiano wa urefu na uzito (BMI) mwanamke kutoka BAPS Charity wakati wanawake wa JKCI walipowatembelea wanawake wa BAPS Charity kwa ajili ya kuwafanyia vipimo vya kuchunguza viashiria vya magonjwa ya moyo katika kuelekea siku ya wanawake duniani jana katika ukumbi wa BAPS Jijini Dar es Salaam
Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Morine Daniel akimpima wingi wa sukari mwilini mwanamke kutoka BAPS Charity wakati wanawake wa JKCI walipowatembelea wanawake wa BAPS Charity kwa ajili ya kuwafanyia vipimo vya kuchunguza viashiria vya magonjwa ya moyo katika kuelekea siku ya wanawake duniani jana katika ukumbi wa BAPS Jijini Dar es Salaam
Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) Atu Ulimboka akimpima mapigo ya moyo mwanamke kutoka BAPS Charity wakati
wanawake wa JKCI walipowatembelea wanawake wa BAPS Charity kwa ajili ya
kuwafanyia vipimo vya kuchunguza viashiria vya magonjwa ya moyo katika kuelekea
siku ya wanawake duniani jana katika ukumbi wa BAPS Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Upasuaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) Dkt. Angella Muhozya akimpatia ushauri mwanamke kutoka BAPS
Charity baada ya kufanyiwa uchunguzi wa viashiria vya magonjwa ya moyo wakati
wanawake wa JKCI walipowatembelea wanawake wa BAPS kwa ajili ya kuwafanyia
vipimo vya kuchunguza viashiria vya magonjwa ya moyo katika kuelekea siku ya
wanawake duniani jana katika ukumbi wa BAPS Jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Kitengo cha Huduma Bora wa Taasisi ya
Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Naizhijwa Majani akimsikiliza mwanamke kutoka
BAPS Charity baada ya kufanyiwa vipimo vya viashiria vya magonjwa ya moyo
wakati wanawake wa JKCI walipowatembelea wanawake wa BAPS kwa ajili ya
kuwafanyia vipimo vya kuchunguza viashiria vya magonjwa ya moyo katika kuelekea
siku ya wanawake duniani jana katika ukumbi wa BAPS Jijini Dar es Salaam
Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Smita Bhalia akimwelezea namna ya kutumia dawa mwanamke kutoka BAPS Charity
wakati wanawake wa JKCI walipowatembelea wanawake wa BAPS kwa ajili ya
kuwafanyia vipimo vya kuchunguza viashiria vya magonjwa ya moyo katika kuelekea
siku ya wanawake duniani jana katika ukumbi wa BAPS Jijini Dar es Salaam
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Stella Mongella akimpatia ushauri wa
namna ya kujikinga na magonjwa ya moyo mwanamke kutoka BAPS Charity wakati
wanawake wa JKCI walipowatembelea wanawake wa BAPS kwa ajili ya kuwafanyia
vipimo vya kuchunguza viashiria vya magonjwa ya moyo katika kuelekea siku ya
wanawake duniani jana katika ukumbi wa BAPS Jijini Dar es Salaam
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwafanyia usajili wanawake kutoka BAPS Charity wakati wanawake wa JKCI walipowatembelea wanawake wa BAPS Charity kwa ajili ya kuwafanyia vipimo vya kuchunguza viashiria vya magonjwa ya moyo katika kuelekea siku ya wanawake duniani jana katika ukumbi wa BAPS Jijini Dar es Salaam
Picha na JKCI
Comments
Post a Comment