Maafisa wauguzi wanaohudhuria mafunzo ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharula na mahututi (Critical Care Emergence) yanayotolewa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wajifunza namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa wagonjwa
Maafisa wauguzi wanaohudhuria mafunzo ya wiki 27 ya kuwahudumia wagonjwa wa dharula na mahututi (Critical Care Emergence) yanayotolewa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam wakijifunza kwa vitendo namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mtu mzima. Mafunzo hayo ya namna ya kutoa huduma hiyo yalitolewa na wataalamu kutoka kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharura (Emergence Medicine Services Academy – EMSA).
Maafisa wauguzi wanaohudhuria mafunzo ya wiki 27 ya kuwahudumia wagonjwa wa dharula na mahututi (Critical Care Emergence) yanayotolewa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo jijini Dar es Salaam wakijifunza namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mtoto. Mafunzo hayo ya namna ya kutoa huduma hiyo yalitolewa na wataalamu kutoka kituo cha mafunzo cha tiba na huduma za dharura (Emergence Medicine Services Academy – EMSA).
Comments
Post a Comment