Watu 102 wafanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi ambaye pia ni Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Delilah Kimambo akimwelezea madhara ya magonjwa ya moyo mwananchi aliyefika katika banda la JKCI kwa ajili ya kupata huduma za upimaji na matibabu ya moyo bila malipo wakati wa maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa jana katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Jumla ya watu 102 walifanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo ambapo 41 walipewa dawa za kutumia.
Wanawake wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakipita
mbele ya mgeni rasmi wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani Katibu Tawala
mkoa wa Dar es Salaam Hassan Rugwa wakati wa maadhimisho hayo yaliyofanyika
kimkoa jana katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Edna
Mulenda akimpima urefu, uzito na uwiano wa urefu na uzito (BMI) mgeni rasmi wa
maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam
Hassan Rugwa wakati wa maadhimisho hayo yaliyofanyika kimkoa jana katika uwanja
wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Nai Kipuyo
akimpima shinikizo la damu (BP) mwananchi aliyefika katika banda la JKCI kwa
ajili ya kupata huduma za upimaji na matibabu ya moyo bila malipo wakati wa
maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa jana katika Uwanja
wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Jumla ya watu 102 walifanyiwa uchunguzi wa magonjwa
ya moyo ambapo 41 walipewa dawa za kutumia.
Afisa
Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Fathiya Mustafa akimpima kiwango
cha sukari mwilini mwananchi aliyefika katika banda la JKCI kwa ajili ya kupata
huduma za upimaji na matibabu ya moyo bila malipo wakati wa maadhimisho ya siku
ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa jana katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar
es Salaam. Jumla ya watu 102 walifanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo ambapo 41 walipewa dawa za
kutumia.
Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Rehema
Ng’anzi akimpima shinikizo la damu (BP) na kiwango cha oxygen mwilini mwananchi aliyefika katika banda la JKCI kwa
ajili ya kupata huduma za upimaji na matibabu ya moyo bila malipo wakati wa
maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa jana katika Uwanja
wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Jumla ya watu 102 walifanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo ambapo 41 walipewa dawa za
kutumia.
Mhasibu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) CPA Ashura
Ally akichukuwa taarifa za mwananchi aliyefika katika banda laTaasisi hiyo kwa
ajili ya kupata huduma za upimaji na matibabu ya moyo bila malipo wakati wa
maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa jana katika Uwanja
wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Jumla ya watu 102 walifanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo ambapo 41 walipewa dawa za
kutumia.
Afisa
Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Elizabeth Meli akimpima
shinikizo la damu (BP) mwananchi aliyefika katika banda la JKCI kwa ajili ya
kupata huduma za upimaji na matibabu ya moyo bila malipo wakati wa maadhimisho
ya siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa jana katika Uwanja wa Uhuru
Jijini Dar es Salaam. Jumla ya watu 102 walifanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo ambapo 41 walipewa dawa za
kutumia.
Afisa
Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hildergard Karau akiwakaribisha
wananchi waliofika katika banda la Taasisi hiyo kwa ajili ya kupata huduma za
upimaji na matibabu ya moyo bila malipo wakati wa maadhimisho ya siku ya
Wanawake Duniani yaliyofanyika kimkoa jana katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es
Salaam. Jumla ya watu 102 walifanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo ambapo 41
walipewa dawa za kutumia.
Daktari
wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Adelphina Mcheye akimwelezea umuhimu
wa lishe bora kwa mwananchi aliyefika
katika banda la JKCI kwa ajili ya kupata huduma za upimaji na matibabu ya moyo
bila malipo wakati wa maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika
kimkoa jana katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Jumla ya watu 102
walifanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya
moyo ambapo 41 walipewa dawa za kutumia.
Mkurugenzi wa huduma za Upasuaji na mwenyekiti wa chama cha
wanawake wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Angella Muhozya
akizungumza na wanawake walioshiriki kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani
yaliyofanyika kimkoa katika uwanja wa
Uhuru jijini Dar es Salaam kuhusu huduma za upimaji na matibabu ya moyo
zilizokuwa zinatolewa na Taasisi hiyo. Jumla ya watu 102 walifanyiwa uchunguzi
wa magonjwa ya moyo ambapo 41 walipewa dawa za kutumia.
Mwakilishi
kutoka kampuni ya uingizaji na usambazaji wa dawa na vifaa tiba ya Samiro
Pharmaceutical LTD Manzi Isaac akimpatia zawadi ya mashine ya kupimia kiwango
cha sukari mwilini mwanamke aliyekutwa na tatizo la sukari wakati wa zoezi la upimaji
na matibabu ya magonjwa ya moyo lililofanywa na wanawake wa Taasisi ya Moyo
Jakaya Kikwete (JKCI) katika maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani
yaliyofanyika kimkoa jana katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Jumla ya
watu 102 walifanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo ambapo 41 walipewa dawa za
kutumia.
Mwakilishi kutoka kampuni ya uingizaji na usambazaji wa dawa
na vifaa tiba ya Ajanta Pharma Ltd Alex Kyando akimkabidhi dawa ya shinikizo la
juu la damu mwananchi aliyekutwa na
tatizo la shinikizo la juu la damu wakati wa zoezi la upimaji na matibabu
ya magonjwa ya moyo bila malipo uliofanywa na wanawake wa Taasisi
ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) katika maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani
yaliyofanyika jana kimkoa katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Jumla ya
watu 102 walifanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo ambapo 41 walipewa dawa za
kutumia.
Wanawake
wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja mara
baada ya kumaliza kupita mbele ya mgeni rasmi wa maadhimisho ya siku ya
wanawake duniani Katibu Tawala mkoa wa Dar es Salaam Hassan Rugwa wakati wa
maadhimisho hayo yaliyofanyika kimkoa jana katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es
Salaam.
Mwakilishi
kutoka kampuni ya uingizaji na usambazaji wa dawa na vifaa tiba ya Sun pharma Ltd
Emmanuel Mtui akimkabidhi dawa ya shinikizo la juu la damu (BP) mwananchi aliyekutwa na tatizo la Shinikizo la juu la
damu wakati wa zoezi la upimaji na matibabu ya
magonjwa ya moyo bila malipo
uliofanywa na wanawake wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) katika
maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika jana kimkoa katika Uwanja
wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Jumla ya watu 102 walifanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo ambapo 41 walipewa dawa za
kutumia.
Mwakilishi kutoka kampuni ya uingizaji na usambazaji wa dawa
na vifaa tiba ya EMCURE – PHILLIPS Pharmaceutical Faraja Mkwama akimkabidhi
dawa ya shinikizo la juu la damu mwananchi
aliyekutwa na tatizo la Shinikizo la damu wakati wa zoezi la upimaji na
matibabu ya magonjwa ya moyo bila malipo uliofanywa na wanawake wa Taasisi
ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) katika maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani
yaliyofanyika jana kimkoa katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Jumla ya
watu 102 walifanyiwa uchunguzi wa
magonjwa ya moyo ambapo 41 walipewa dawa za kutumia.
Comments
Post a Comment