Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wafuturu pamoja


Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika foleni ya kuchukua futari iliyoandaliwa na Idara ya Tiba Shirikishi kwa ajili ya mfungo mtukufu wa Ramadhani na kufanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam. Futari hiyo imedhaminiwa na kampuni ya dawa za binadamu ya Ajanta Pharm Ltd


Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakifuturu wakati wa futari iliyoandaliwa na Idara ya Tiba Shirikishi kwa ajili ya mfungo mtukufu wa Ramadhani na kufanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam. Futari hiyo imedhaminiwa na kampuni ya dawa za binadamu ya Ajanta Pharm Ltd

Meneja wa Kanda wa kampuni ya dawa za binadamu ya Ajanta Pharm Ltd. Kumar Bangaru akiwasalimia wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete walioshiriki katika futari iliyodhaminiwa na kampuni hiyo na kufanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam 

Picha na: JKCI

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa