Posts

Showing posts from September, 2022

Madaktari bingwa wa moyo wawafikia wakazi wa Arusha na kutoa huduma za matibabu ya moyo

Image

Wengi waliopimwa magonjwa ya moyo Arusha wakutwa na shinikizo la juu la damu

Image

Wengi waliopimwa magonjwa ya moyo Arusha wakutwa na shinikizo la juu la damu

Image

Wakazi wa Arusha na mikoa jirani wafanyiwa uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo

Image
Afisa uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Veronica Vedastus akimpima kipimo cha kuangalia shinikizo la damu (BP) mwananchi aliyefika katika viwanja vya Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) ambako inafanyika kambi maalum ya siku tano ya  uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo ikiwa ni maadhimisho ya siku ya moyo duniani yaliyofanyika jana tarehe 29/09/2022. Afisa Utafiti wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Zabella Mkojera akichukuwa taarifa za mkazi wa Arusha aliyefika katika viwanja vya Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya moyo. Wataalamu wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa ALMC wanafanya kambi maalum ya siku tano ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa wakazi wa mkoa wa Arusha na mikoa jirani. Afisa Utafiti wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Makrina Komba  akichukuwa taarifa za mkazi wa Arusha aliyefika katika viwanja vya Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) kwa ajili ya kufanyiwa uchunguz...

Wananchi 140 wafanyiwa uchunguzi na matibabu ya moyo JKCI

Image

Mamia wajitokeza JKCI kufanyiwa upimaji wa magonjwa ya moyo

Image
Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam akisoma jarida la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete wakati wa upimaji wa magonjwa ya moyo na kisukari bila malipo katika kuadhimisha siku ya moyo duniani iliyofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam Mtafiti kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Neema Kailembo akimfanyia usajiri mwananchi aliyefika kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo na kisukari wakati wa kuadhimisha siku ya moyo duniani iliyofanyika katika viwanja vya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete leo Jijini Dar es Salaam  Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Happy Mulagwa akimpima wingi wa sukari mwilini mwananchi aliyefika katika viwanja vya Taasisi hiyo kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo na kisukari wakati wa kuadhimisha siku ya moyo duniani leo Jijini Dar es Salaam. Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Mali Sabuni akimpima shinikizo la damu mwananchi aliyefika katika viwan...

Prof. Janabi: Matumizi makubwa ya chumvi ni hatari kwa afya ya moyo

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya moyo duniani leo tarehe 29/09/2022. Katika kuadhimisha siku hiyo wataalamu wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa ALMC wanafanya kambi maalum ya siku tano ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa wakazi wa mkoa wa Arusha na mikoa jirani. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akitazama kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography) ambacho alipimwa mwananchi aliyefika Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) kwa ajili ya uchunguzi na matibabu ya moyo. Katika kuadhimisha siku ya moyo duniani leo tarehe 29/09/2022 wataalamu wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa ALMC wanafanya kambi maalum ya siku tano ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa wakazi wa mkoa wa Arusha na mikoa jirani. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasi...

UPIMAJI NA MATIBABU YA MAGONJWA YA MOYO MKOANI DAR ES SALAAM

Image
 

Watu 791 wafanyiwa uchunguzi na matibabu katika kambi maalum ya matibabu ya moyo inayofanyika mkoani Arusha

Image
Mkuu  wa idara ya utafiti na mafunzo ambaye pia ni daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter Kisenge akimwonesha kitabu cha jinsi ya kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza mwananchi aliyefika Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo. Wataalamu wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa ALMC wanafanya kambi maalum ya siku tano ya matibabu ya magonjwa ya moyo kwa wakazi wa mkoa wa Arusha na mikoa jirani. Mkuu  wa idara ya utafiti na mafunzo ambaye pia ni daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Peter Kisenge akimpima kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography) mwananchi aliyefika Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi na matibabu ya magonjwa ya moyo. Wataalamu wa JKCI kwa kushirikiana na wenzao wa ALMC wanafanya kambi maalum ya siku tano ya matibabu ya magonjwa ya moyo kwa wakazi wa...

Daktari bingwa wa Moyo kutoka Misri kufanya upasuaji JKCI

Image
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Ghati Chacha akimkaribisha Balozi wa Tanzania Nchini Misri Mhe. Emmanuel Nchimbi alipowasili katika Taasisi hiyo huku akiongozana na wageni kutoka Taasisi ya Ushirikiano wa Afrika na Asia (AFASU) iliyopo nchini Misri kwa ajili ya kujenga mashirikiano katika masuala ya tiba ili kuboresha huduma za afya nchini hivi karibuni katika Taasisi hiyo iliyopo Jijini Dar es Salaam. Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tatizo Waane akielezea huduma zinazotolewa na Taasisi hiyo wakati ugeni kutoka Taasisi ya Ushirikiano wa Afrika na Asia (AFASU) iliyopo nchini Misri ulipotembelea JKCI kwa ajili ya kujenga mashirikiano katika masuala ya tiba ili kuboresha huduma za afya nchini hivi karibuni katika Taasisi hiyo iliyopo Jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Ghati Chacha akizungumza na wageni kutoka Taasisi ya Ushirikiano wa Afrika na Asia (AFA...

Kambi maalum za matibabu ya moyo kwa watoto

Image
 

Madaktari bingwa wa JKCI kufanya upimaji wa magonjwa ya moyo Mkoani Arusha

Image

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Image
 

Upimaji na Matibabu ya Magonjwa ya Moyo Mkoani Arusha

Image
 

TPDC MARATHON YACHANGIA MILIONI 100 MATIBABU YA MOYO KWA WATOTO

Image
Rais Mstaafu awamu ya nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 100 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi iliyotolewa leo katika Viwanja vya Farasi Oyster bay Jijini Dar es Salaam na Shirika la Mafuta la Taifa (TPDC) fedha zilizokusanywa kutoka kwa washiriki wa mbio za TPDC Marathon wa ajili ya kuchangia matibabu ya watoto 50 wenye magonjwa ya moyo wanaotibiwa JKCI Rais Mstaafu awamu ya nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwaongoza viongozi wengine katika matembezi ya kilometa 5 wakati wa mbio za TPDC Marathon kuchangia matibabu ya watoto wenye magonjwa ya moyo wanaotibiwa JKCI leo Jijini Dar es Salaam Rais Mstaafu awamu ya nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi zawadi mshindi wa tatu mbio za kilometa 5 kwa watoto Cathleen Maokola wakati wa mbio za TPDC Marathon kwa ajili ya kuchangia matibabu ya watoto 50 wenye magonjwa ya moyo wanaotibiwa JKCI leo katika Viwanja vya Farasi vilivyopo Oyster...