Makamu wa kwanza wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar atembelea Jkci


Makamu wa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Othman Masoud akizungumza na Madaktari kutoka Kituo cha Mfalme Salman cha Misaada ya Kibinadamu kilichopo nchini Saud Arabia alipotembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) leo Jijini Dar es Salaam na kukutana na madaktari hao ambao wapo katika kambi maalum ya matibabu ya moyo kwa watoto.


Daktari wa upasuaji mdogo wa moyo kwa watoto kutoka Kituo cha Mfalme Salman cha Misaada ya Kibinadamu kilichopo nchini Saud Arabia Dkt. Jameel Al-Ata akimwelezea Makamu wa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Othman Masoud huduma wanazozitoa alipotembelea Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete leo Jijini Dar es Salaam na kukutana na madaktari hao ambao wapo katika kambi maalum ya matibabu ya moyo kwa watoto

Makamu wa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Othman Masoud katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi na Madaktari kutoka Kituo cha Mfalme Salman cha Misaada ya Kibinadamu kilichopo nchini Saud Arabia alipotembelea JKCI leo Jijini Dar es Salaam na kukutana na madaktari hao ambao wapo katika kambi maalum ya matibabu ya moyo kwa watoto.


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiagana na Makamu wa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Othman Masoud alipotembelea JKCI leo Jijini Dar es Salaam na kukutana na madaktari hao ambao wapo katika kambi maalum ya matibabu ya moyo kwa watoto.

Picha na Khamis Mussa 
******************************************************************************

Comments

Popular posts from this blog

JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

JKCI yapata tuzo ya taasisi ambayo imetoa mchango wa kipekee kiuchumi na kijamii katika kuleta matokeo makubwa kwa kipindi cha mwaka 2023/2024

Wafanyakazi waliohama JKCI waagwa