Posts

Showing posts from March, 2023

Wapimwa moyo Dodoma

Image

Iringa kufikiwa na huduma za matibabu ya moyo

Image
 

15 Wahitimu mafunzo ya kuwahudumia wagonjwa mahututi na wa dharura

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na wauguzi 15 kutoka hospitali mbalimbali nchini walioshiriki mafunzo ya wiki 30 ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi wakati wa hafla fupi ya kuhitimu mafunzo hayo iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Taasisi hiyo jijini Dar es Salaam Wauguzi kutoka Hospitali mbalimbali nchini walioshiriki mafunzo ya wiki 30 ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi wakisikiliza wakati wa hafla fupi ya kuhitimu mafunzo hayo iliyofanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete iliyopo jijini Dar es Salaam Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete ambaye pia ni mwezeshaji wa mafunzo ya jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi Joshua Ogutu akizungumza na wahitimu wa mafunzo hayo wakati wa hafla fupi ya kuhitimu iliyofanyika katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt

Watu 251 wapimwa magonjwa ya moyo Dodoma

Image
Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt.Godwin Mollel akiwapongeza wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na huduma ya upimaji wa magonjwa ya moyo waliyoitoa kwa wananchi katika maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi na Ukunga yaliyoenda sambamba na maonesho ya siku tatu ya huduma zinazotolewa na wauguzi yaliyomalizika jana katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Uuguzi wa JKCI Robert Mallya. Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt. Godwin Mollel akisaini kitabu cha wageni katika banda la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi na Ukunga yaliyoenda sambamba na maonesho ya siku tatu ya huduma zinazotolewa na wauguzi yaliyomalizika jana katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Uuguzi wa JKCI Robert Mallya. Mkurugenzi wa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya akimweleza Naibu Waziri wa Afya Mhe. Dkt. Godwin Mollel huduma za matibabu ya moyo zilizoto

Shirika la Bigger Heart lililoko Zanzibar latembelea watoto wenye magonjwa ya moyo

Image
Mama wa mtoto Tumaini Yasin akipokea zawadi kutoka  kwa mwakilishi kutoka Shirika la Bigger Heart lililoko Zanzibar walipotembelea watoto wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) . Mkuu wa Kitengo cha Ustawi wa Jamii kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Asha Salum na msimamizi wa wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo Theresia Tarimo wakipokea  zawadi za mwanasesere kutoka kwa mwakilishi kutoka Shirika la Bigger Heart lililoko Zanzibar walipotembelea watoto wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) .  

Wakazi wa Dodoma washukuru huduma ya upimaji magonjwa ya moyo

Image
Wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete wakiwapima wananchi   waliotembelea  banda la Taasisi hiyo shinikizo la damu na kiwango cha sukari mwilini wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi  na Ukunga yanayoenda sambamba na maonesho ya siku tatu ya huduma zinazotolewa na wauguzi yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma. Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Adam Ndamayape akitoa elimu ya jinsi ya kuepukana na magonjwa ya moyo kwa wananchi waliotembelea banda la Taasisi hiyo wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi  na Ukunga yanayoenda sambamba na maonesho ya siku tatu ya huduma zinazotolewa na wauguzi yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.  Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi na Ukunga kutoka  Wizara ya Afya Ziada Selah akiwa katika picha ya pamoja na wauguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi na Ukunga yanayoenda sambamba na maonesho ya siku tat

Wauguzi wa JKCI watoa huduma za upimaji na elimu ya magonjwa ya moyo mkoani Dodoma

Image
  Mkurugenzi wa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya akitoa elimu ya dalili za shambulio la moyo pamoja na madhara yake kwa wanafunzi wa Uuguzi kutoka Chuo Kikuu cha St. John kilichopo jijini Dodoma wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi na Ukunga yanayoenda sambamba na maonesho ya siku tatu ya huduma zinazotolewa na wauguzi yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini humo. Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Adam Ndamayape akimweleza mwananchi aliyetembelea banda la Taasisi hiyo kuhusu ugonjwa wa shinikizo la juu la damu   wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi   na Ukunga yanayoenda sambamba na maonesho ya siku tatu ya huduma zinazotolewa na wauguzi yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma. Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Rehema Bakari akimpima  mwananchi aliyetembelea banda la Taasisi hiyo shinikizo la damu wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uugu

Rais Mstaafu Dkt. Kikwete apongeza kwa huduma bora JKCI

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimkabidhi Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete tuzo ya kutambua mchango wake wa kuanzishwa kwa Taasisi hiyo iliyotolewa wakati wa mkutano wa kwanza wa shambulio la moyo uliofanyika katika Hoteli ya Ledger Plaza, Beach jijini Dar es Salaam mwezi wa pili mwaka huu. Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge kuhusu mchakato wa kuanzishwa kwa Taasisi hiyo jinsi ulivyofanyika wakati alipokutana na uongozi wa JKCI ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimweleza Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete jinsi huduma za matibabu ya moyo zinavyotolewa katika   Taasisi hiyo wakati walipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam. Rais Mstaafu wa awamu ya nne Mhe. Dkt. Jakay

JKCI kukisimamia na kukijengea uwezo kitengo cha Moyo cha Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH)

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na Mkurugenzi   wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH) Dkt. Brian Mawala jinsi Taasisi hiyo   ilivyojipanga kuhakikisha hospitali hiyo inatoa huduma za kibingwa za matibabu ya moyo.Wizara ya Afya imeipa JKCI kitengo cha Moyo kilichopo katika Hospitali hiyo ili ikisimamie na kukijengea uwezo katika kutoa   huduma za kibingwa za matibabu ya moyo katika kanda ya Ziwa.                          Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Taasisi hiyo pamoja na wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH) mara baada ya kumalizika kwa kikao ambacho kilijadili namna ambavyo JKCI itakisimamia kitengo cha Moyo kilichopo katika Hospitali hiyo ili kiweze kutoa huduma za kibingwa za matibabu ya moyo katika kanda ya Ziwa.

Kongamano la siku ya wanawake Duniani lafanyika JKCI

Image
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na wanawake wa JKCI wakati wa sherehe ya kuadhimisha kilele cha siku ya wanawake duniani iliyofanyika katika ukumbi wa Taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB Ruth Zaipuna akiwapongeza wanawake wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa sherehe ya kuadhimisha kilele cha siku ya wanawake duniani iliyofanywa na wanawake wa JKCI katika ukumbi wa Taasisi hiyo leo jijini Dar es Salaam Mgeni rasmi wa sherehe ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani iliyofanywa na wanawake wa JKCI Mkurugenzi Mkuu Benki ya NMB Ruth Zaipuna akikata keki wakati wa sherehe hiyo iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Engerasiya Kifai akiwafundisha wanawake wa JKCI namna ya kujali afya zao wakati wa sherehe iliyoandaliwa na wanawake hao kuadhimisha kilele cha siku ya wanawake dunia leo katika ukumbi wa taasisi hiyo

Dkt. Kisenge awataka wafanyakazi wa JKCI kuwafundisha wataalamu wa afya jinsi ya kutibu magonjwa ya moyo

Image
 Wajumbe wa baraza la wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakionesha mshikamano katika kutekeleza majukumu ya kazi kwa kushikana mikono na kuimba wakati wa kikao cha baraza la wafanyakazi wa Taasisi hiyo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza wakati wa kikao cha baraza la wafanyakazi wa JKCI kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Msaidizi wa Baraza hilo Theresia Marombe. Mkurugenzi wa Idara ya Fedha na Mipango CPA Agnes Kuhenga akifafanua jambo wakati wa kikao cha baraza la wafanyakazi wa JKCI kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu wa Taasisi hiyo Adv. Maulid Kikondo. Afisa Mipango wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Vida Mushi akiwasilisha makisio ya bajeti ya Taasisi hiyo ya mwaka wa fedha 2023/2024 wakati wa Kikao cha baraza la wafanyakazi wa JKCI kilichofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Waf