Shirika la Bigger Heart lililoko Zanzibar latembelea watoto wenye magonjwa ya moyo

Mama wa mtoto Tumaini Yasin akipokea zawadi kutoka  kwa mwakilishi kutoka Shirika la Bigger Heart lililoko Zanzibar walipotembelea watoto wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) .

Mkuu wa Kitengo cha Ustawi wa Jamii kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Asha Salum na msimamizi wa wodi ya watoto wenye magonjwa ya moyo Theresia Tarimo wakipokea  zawadi za mwanasesere kutoka kwa mwakilishi kutoka Shirika la Bigger Heart lililoko Zanzibar walipotembelea watoto wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) .

 

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa