JKCI kukisimamia na kukijengea uwezo kitengo cha Moyo cha Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH)

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na Mkurugenzi  wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH) Dkt. Brian Mawala jinsi Taasisi hiyo  ilivyojipanga kuhakikisha hospitali hiyo inatoa huduma za kibingwa za matibabu ya moyo.Wizara ya Afya imeipa JKCI kitengo cha Moyo kilichopo katika Hospitali hiyo ili ikisimamie na kukijengea uwezo katika kutoa  huduma za kibingwa za matibabu ya moyo katika kanda ya Ziwa.                        

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Taasisi hiyo pamoja na wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato (CZRH) mara baada ya kumalizika kwa kikao ambacho kilijadili namna ambavyo JKCI itakisimamia kitengo cha Moyo kilichopo katika Hospitali hiyo ili kiweze kutoa huduma za kibingwa za matibabu ya moyo katika kanda ya Ziwa.


Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa