Wauguzi wa JKCI watoa huduma za upimaji na elimu ya magonjwa ya moyo mkoani Dodoma





Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Adam Ndamayape akimweleza mwananchi aliyetembelea banda la Taasisi hiyo kuhusu ugonjwa wa shinikizo la juu la damu  wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi  na Ukunga yanayoenda sambamba na maonesho ya siku tatu ya huduma zinazotolewa na wauguzi yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.

Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Rehema Bakari akimpima  mwananchi aliyetembelea banda la Taasisi hiyo shinikizo la damu wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi  na Ukunga yanayoenda sambamba na maonesho ya siku tatu ya huduma zinazotolewa na wauguzi yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.


Wananchi waliofika katika Banda la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakipata huduma za upimaji na elimu ya magonjwa ya moyo wakati wa maadhimisho ya miaka 70 ya Baraza la Uuguzi  na Ukunga yanayoenda sambamba na maonesho ya huduma zinazotolewa na wauguzi yanayofanyika katika viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma.


Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa