Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo atembelea banda la JKCI na kuwataka wananchi kujitokeza kupima magonjwa ya moyo
Waziri wa Viwanda na
Biashara Mhe. Prof. Kitila Mkumbo akiweka sahihi katika kitabu cha wageni
alipotembelea banda la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) lililopo katika
Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere vilivyopo barabara ya Kilwa leo Jijini
Dar es Salaam.
Waziri wa Viwanda na
Biashara Mhe. Prof. Kitila Mkumbo akiangalia moja ya dawa zinazotolewa bure na
kampuni ya madawa ya Ajanta Pharma limited kwa wananchi wanaopatiwa huduma za
vipimo vya magonjwa ya moyo katika banda la Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) alipotembelea banda hilo lililopo katika Viwanja vya Mwalimu Julius
Kambarage Nyerere vilivyopo barabara ya Kilwa leo Jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha
Tafiti na Mafunzo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Naizhijwa
Majani akimwelezea Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Prof. Kitila Mkumbo
huduma zinazotolewa katika banda la JKCI alipotembelea banda hilo lililopo
katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere vilivyopo barabara ya Kilwa
leo Jijini Dar es Salaam
Afisa Lishe wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) Husna Faraji akimuonesha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Prof. Kitila
Mkumbo mfano wa picha inayoonyesha mla kamili ulijumuisha makundi yote ya
chakula alipotembelea banda la JKCI lililopo katika Viwanja vya Mwalimu Julius
Kambarage Nyerere vilivyopo barabara ya Kilwa leo Jijini Dar es Salaam.
Afisa Tafiti na Mafunzo wa Taasisi ya Moyo
Jakaya Kikwete (JKCI) Bruno Selege akimfanyia usajili mwananchi aliyefika katika
banda la JKCI lililopo katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
vilivyopo barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupata huduma za
vipimo vya magonjwa ya moyo zinazotolewa na Taasisi hiyo.
Mteknolojia wa Maabara wa Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete (JKCI) Jordan Megabe akimtoa damu kwa ajili ya kuifanyia uchunguzi
mwananchi aliyetembelea banda la JKCI lililopo katika Viwanja vya Mwalimu
Julius Kambarage Nyerere vilivyopo barabara ya Kilwa leo Jijini Dar es Salaam.
Na: JKCI
Comments
Post a Comment