Menejimenti ya JKCI yapokea kombe la mshindi wa kwanza kwa utoaji wa huduma za afya na matumizi ya Teknolojia katika tiba lililotolewa na TanTrade wakati wa Maonesho ya 45 ya Sabasaba
Mkurugenzi wa Utawala na Fedha wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) CPA. Agnes Kuhenga akitoa neno la pongezi kwa wawakilishi wa JKCI walioshiriki Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA) yaliyomalizika hivi karibuni katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa kukabidhi kombe la mshindi wa kwanza kwa utoaji wa huduma za afya na matumizi ya Teknolojia katika tiba leo katika Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam
Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Mohamed Aloyce akitoa taarifa ya upimaji wa wananchi waliotembelea banda la JKCI kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA) yaliyomalizika hivi karibuni katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa kukabidhi kombe la mshindi wa kwanza kwa utoaji wa huduma za afya na matumizi ya Teknolojia katika tiba leo katika Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam
Mteknolojia
wa Maabara wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Jordan Megabe akielezea
namna kitengo cha maabara kilivyotoa huduma kwa wananchi waliotembelea banda la
JKCI kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA)
yaliyomalizika hivi karibuni katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere wakati wa kukabidhi kombe la mshindi wa kwanza kwa utoaji wa huduma za
afya na matumizi ya Teknolojia katika tiba leo katika Taasisi hiyo Jijini Dar
es Salaam
Daktari
Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Baraka
Ndelwa akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI Prof. Mohamed Janabi kombe la
mshindi wa kwanza kwa utoaji wa huduma za afya na matumizi ya Teknolojia katika
tiba lililotolewa na Mamlaka ya Biashara Tanzania (TanTrade) wakati wa Maonesho
ya 45 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA) yaliyomalizika hivi karibuni
katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi katika
picha ya pamoja na menejimenti ya Taasisi hiyo na wawakilishi wa JKCI
walioshiriki Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (SABASABA)
yaliyomalizika hivi karibuni katika Viwanja vya Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere wakati wa kukabidhi kombe la mshindi wa kwanza kwa utoaji wa huduma za
afya na matumizi ya Teknolojia katika tiba leo katika Taasisi hiyo Jijini Dar
es Salaam
Comments
Post a Comment