Wapewa mafunzo ya kujikinga na kudhibiti maambukizi
Mwezeshaji wa mafunzo ya mpangilio maalum katika mazingira ya
kazi (5’S) pamoja na kukinga na kudhibiti maambukizi (IPC) Valentina Msechu
akiwafundisha wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kutekeleza
majukumu yao kwa kufuata 5’S ili kuleta tija ndani ya kazi za kila siku wakati
wa mafunzo hayo ya siku tatu yanayotolewa katika Ukumbi wa Taasisi hiyo leo
Jijini Dar es Salaam
Daktari
wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Edward Msukwa akichangia hoja wakati
wa mafunzo ya siku tatu kuhusu mpangilio maalum katika mazingira ya kazi (5’S)
pamoja na kukinga na kudhibiti maambukizi (IPC) yanayotolewa kwa wafanyakazi wa
Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam
Afisa kumbukumbu za afya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Vedastus Lazaro
akielezea namna ambavyo kitengo cha kumbukumbu za afya kinavyofanya kazi wakati
wa mafunzo ya siku tatu kuhusu mpangilio maalum katika mazingira ya kazi (5’S)
pamoja na kukinga na kudhibiti maambukizi (IPC) yanayotolewa kwa wafanyakazi wa
Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam
Mhasibu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) Mohamed Isambula akichangia hoja wakati wa mafunzo ya siku tatu kuhusu
mpangilio maalum katika mazingira ya kazi (5’S) pamoja na kukinga na kudhibiti
maambukizi (IPC) yanayotolewa kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo leo Jijini Dar es
Salaam
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa wakati wa mafunzo ya siku tatu
kuhusu mpangilio maalum katika mazingira ya kazi (5’S) pamoja na kukinga na
kudhibiti maambukizi (IPC) leo katika Ukumbi wa Taasisi hiyo iliyopo Jijini Dar
es Salaam
Picha na: JKCI
*****************************************************************************************************************
Comments
Post a Comment