Wafanyakazi waliohama JKCI waagwa

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimuaga aliyekuwa Mhasibu wa Taasisi hiyo Mohamed Songoro wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi wa JKCI waliopata uhamisho kwenda katika taasisi mbalimbali za umma leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimuaga aliyekuwa Katibu Muhtasi wa Taasisi hiyo Faith Temba wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi wa JKCI waliopata uhamisho kwenda katika taasisi mbalimbali za umma leo jijini Dar es Salaam.

Aliyekuwa Mfamasia wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Nelson Faustine akitoa neno la shukrani mara baada ya kuhamishiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi wa JKCI waliopata uhamisho kwenda katika taasisi mbalimbali za umma leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akizungumza na wafanyakazi wa taasisi hiyo waliopata uhamisho kwenda katika taasisi mbalimbali za umma leo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika katika ukumbi wa JKCI iliyopo jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa taasisi hiyo waliopata uhamisho kwenda katika taasisi mbalimbali za umma leo wakati wa hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika katika ukumbi wa JKCI iliyopo jijini Dar es Salaam

Picha na: JKCI

**************************************************************************************************************

 

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa