JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma



Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Asha Izina akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Arusha kuhusu wataalamu wa Taasisi hiyo na wenzao wa hospitali ya AICC Arusha kutoa huduma za ushauri, upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa wenyeviti na watendaji wakuu wa taasisi za umma watakaoshiriki kikao kazi kitakachofanyika jijini humo. Kikao kazi hicho cha siku tatu kimeandaliwa na ofisi ya Msajili wa Hazina.

Mkurugenzi wa Upasuaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Angela Muhozya akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Arusha kuhusu wataalamu wa Taasisi hiyo na wenzao wa hospitali ya AICC Arusha kutoa huduma za ushauri, upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa wenyeviti na watendaji wakuu wa taasisi za umma watakaoshiriki kikao kazi kitakachofanyika jijini humo. Kikao kazi hicho cha siku tatu kimeandaliwa na ofisi ya Msajili wa Hazina.

Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali ya AICC Arusha Dkt. Ezekiel Moirana akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusu wataalamu wa Hospitali hiyo na wenzao wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kutoa huduma za ushauri, upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa wenyeviti na watendaji wakuu wa taasisi za umma watakaoshiriki kikao kazi kitakachofanyika jijini humo. Kikao kazi hicho cha siku tatu kimeandaliwa na ofisi ya Msajili wa Hazina.


Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Grace Mwakasyuka akimpima kiwango cha sukari kwenye damu mwandishi wa habari aliyefika katika kliniki maalumu ya moyo ya AICC-JKCI kwaajili ya kupata huduma za ushauri, upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa wenyeviti na watendaji wakuu wa taasisi za umma watakaoshiriki kikao kazi kitakachofanyika jijini humo. Kikao kazi hicho cha siku tatu kimeandaliwa na ofisi ya Msajili wa Hazina.

Wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa hospitali ya AICC Arusha wakiwa katika picha ya pamoja wakisubiri kutoa huduma za ushauri, upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa wenyeviti na watendaji wakuu wa taasisi za umma watakaoshiriki kikao kazi kilichoandaliwa na ofisi ya Msajili wa Hazina kitakachofanyika jijini Arusha.


Comments

Popular posts from this blog

Wataalamu wa JKCI kufanya upasuaji wa moyo nchini Zambia

JKCI yamshukuru Rais Dkt.Samia kwa kuwapa magari