Wataalamu kutoka Shirika la Mending Kids International wapongezwa kwa kushirikiana na JKCI kuwafanyia upasuaji wa moyo watoto 39
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Angela Muhozya akimpatia zawadi
daktari bingwa wa upasuaji wa moyo kwa watoto kutoka Shirika la Mending Kids
International la nchini Marekani Sasha Agati baada ya kumalizika kwa kambi
maalumu ya siku tano ya upasuaji wa moyo kwa watoto. Watoto 39 wamefanyiwa upasuaji katika kambi
hiyo.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Angela Muhozya akimpatia zawadi
mratibu kutoka Shirika la Mending Kids International la nchini Marekani Dulcie
Morris baada ya kumalizika kwa kambi maalumu ya siku tano ya upasuaji wa moyo
kwa watoto. Watoto 39 wamefanyiwa
upasuaji katika kambi hiyo.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Angela Muhozya akimpatia zawadi daktari bingwa wa usingizi kutoka nchini Cameroon ambaye anafanya kazi katika Shirika la Mending Kids International la nchini Marekani Flora Fondjo baada ya kumalizika kwa kambi maalumu ya siku tano ya upasuaji wa moyo kwa watoto ambapo watoto watatu kutoka nchini Cameron walipata huduma za upasuaji katika kambi hiyo.
Picha na: JKCI
*******************************************************************************************************************
Comments
Post a Comment