“Tumieni maonesho ya madini kupima afya ya moyo” RMO Geita Dkt. Omari Sukari
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita Dkt. Omari Sukari akimsikiliza Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Moses Manumbu alipotembelea banda la Taasisi hiyo lililopo katika maonesho ya tisa ya kitaifa ya teknolojia ya madini yanayofanyika katika viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan Bombambili mjini Geita. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita Dkt. Omari Sukari akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la JKCI lililopo katika maonesho ya tisa ya kitaifa ya teknolojia ya madini yanayofanyika katika viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan Bombambili mjini Geita. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita Dkt. Omari Sukari akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) alipotembelea banda la JKCI lililopo katika maonesho ya tisa ya kitaifa ya teknolojia ya madini yanayofanyika katika viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan Bombambili mjini Geita. Picha na JKCI ******************************************************...