Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan azindua chanjo ya kuzuia maambukizi ya UVIKO - 19 Ikulu jijini Dar es Salaam

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua chanjo ya kuzuia maambukizi ya  UVIKO - 19 katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionesha cheti cha uthibitisho wa chanjo muda mfupi baada ya kuzindua chanjo ya kuzuia maambukizi ya  UVIKO - 19 katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam .

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akipata chanjo ya kuzuia maambukizi ya  UVIKO - 19 katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam .

Picha na Ikulu



Comments

Popular posts from this blog

Wanawake waaswa kulinda mioyo yao, kuepuka sukari na chumvi kupita kiasi

Kutoka miaka 22 hadi kustaafu: Safari ya Lemmah yatoa somo kwa Watumishi wa Umma