Wafanyakazi bora wa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2020/21 wapongezwa

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akimkabidhi zawadi ya ngao mfanyakazi bora wa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2020/2021 aliyeshika nafasi ya kwanza Mary Haule wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza wafanyakazi bora watatu iliyofanyika leo katika Taasisi hiyo. 


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akimkabidhi cheti mfanyakazi bora wa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2020/2021 aliyeshika nafasi ya pili Fredy Tupa wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza wafanyakazi bora watatu iliyofanyika leo katika Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam.


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Tatizo Waane akimkabidhi cheti mfanyakazi bora wa robo ya nne  ya  mwaka wa fedha 2020/2021 aliyeshika nafasi ya tatu Ashura Ally wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza wafanyakazi bora watatu iliyofanyika leo katika Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam.


Mfanyakazi bora wa robo ya nne ya mwaka wa fedha 2020/2021 aliyeshika nafasi ya kwanza Mary Haule akiwashukuru wafanyakazi wenzake kwa kuendelea kushirikiana katika majukumu ya kazi wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza wafanyakazi bora watatu iliyofanyika katika Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam.  

 

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI, MOI NA MNH waitwa Comoro kutoa huduma za matibabu ya kibingwa