Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushirikiana na vyuo vikuu vya Sharda na MM vya nchini India, Summy State na A.N Calasin vya nchini Ukraine katika tiba ya magonjwa ya moyo

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akizungumza na viongozi  wa  vyuo vikuu vya Sharda na MM vya nchini India, Summy State na A.N Calasin vya nchini Ukraine ambao walitembelea Taasisi hiyo kwa ajili ya kuona ni jinsi gani wataimarisha mahusiano katika tiba ya magonjwa ya moyo, utalii wa matibabu na kuwapeleka wanafunzi watanzania wanaosoma katika vyuo hivyo kwenda kusoma sehemu ya masomo yao JKCI.

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya utalii tiba  ya GEL Abdulmalik Mollel akichangia mada kwenye kikao cha viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) , viongozi  wa  vyuo vikuu vya Sharda na MM vya nchini India, Summy State na A.N Calasin vya nchini Ukraine ambao walitembelea Taasisi hiyo kwa ajili ya kuona huduma mbalimbali za matibabu ya magonjwa ya moyo zinazotolewa.

Kikao baina ya viongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), vyuo vikuu vya Sharda na MM vya nchini India, Summy State na A.N Calasin vya nchini Ukraine na kampuni ya utalii tiba  ya GEL cha kujadili namna ya kuimarisha mahusiano baina yao  katika tiba ya magonjwa ya moyo, utalii tiba na kuwapeleka wanafunzi watanzania wanaosoma katika vyuo hivyo kwenda kusoma sehemu ya masomo yao JKCI kikiendelea.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi  wa  vyuo vikuu vya Sharda na MM vya nchini India, Summy State na A.N Calasin vya nchini Ukraine mara baada ya kumalizika kwa kikao baina yao ambacho kilijadili jinsi ya kuimarisha mahusiano baina yao  katika tiba ya magonjwa ya moyo, utalii wa matibabu na kuwapeleka wanafunzi watanzania wanaosoma katika vyuo hivyo kwenda kusoma sehemu ya masomo yao JKCI.
 
Comments

Popular posts from this blog

Wataalamu wa JKCI kufanya upasuaji wa moyo nchini Zambia

JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

JKCI yamshukuru Rais Dkt.Samia kwa kuwapa magari