Viongozi na watu maarufu wachanja chanjo ya UVIKO - 19 wakati wa mbio za CRDB Marathon

 

Afisa kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Janeth Haulle akimsajiri mwananchi aliyetembelea banda la JKCI kwa ajili ya kuchoma chanjo ya kuzuia maambukizi ya UVIKO – 19 baada ya kumalizika kwa mbio za CRDB Marathoni zilizofanyika katika viwanjwa vya Farasi Oystebay leo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuchangia matibabu ya watoto 100 wenye magonjwa ya moyo wanaotibiwa JKCI


Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Oliver Marandu akimchoma chanjo ya kuzuia maambukizi ya UVIKO – 19 Mtanzania aliyewahi kushiriki shindano la Big Brother Afrika 2003 Mwisho Mwampamba baada ya kumalizika kwa mbio za CRDB Marathoni zilizofanyika katika viwanjwa vya Farasi Oystebay leo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuchangia matibabu ya watoto wenye magonjwa ya moyo wanaotibiwa JKCI

Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Oliver Marandu akimchoma chanjo ya kuzuia maambukizi ya UVIKO – 19 mhanga wa kwanza wa kurona nchini Tanzania Isabella Mwampamba baada ya kumalizika kwa mbio za CRDB Marathoni zilizofanyika katika viwanjwa vya Farasi Oystebay leo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuchangia matibabu ya watoto wenye magonjwa ya moyo wanaotibiwa JKCI

Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Joshua Ogutu akimchoma chanjo ya kuzuia maambukizi ya UVIKO – 19 Naibu Waziri wa Maji Mhe. Maryprisca Mahundi alipotembelea banda la JKCI kwa ajili ya kupata chanjo hiyo  baada ya kumalizika kwa mbio za CRDB Marathoni zilizofanyika katika viwanjwa vya Farasi Oystebay leo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuchangia matibabu ya watoto 100 wenye magonjwa ya moyo wanaotibiwa JKCI

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimpa elimu ya chanjo ya UVIKO - 19 mhanga wa kwanza wa kurona nchini Tanzania Isabella Mwampamba kabla ya kuchoma chanjo hiyo baada ya kumalizika kwa mbio za CRDB Marathoni zilizofanyika katika viwanjwa vya Farasi Oystebay leo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuchangia matibabu ya watoto 100 wenye magonjwa ya moyo wanaotibiwa JKCI

Afisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Gudilla Swai akimchoma chanjo ya kuzuia maambukizi ya UVIKO – 19 mwananchi aliyetembelea banda la JKCI baada ya kumalizika kwa mbio za CRDB Marathoni zilizofanyika katika viwanjwa vya Farasi Oystebay leo Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuchangia matibabu ya watoto 100 wenye magonjwa ya moyo wanaotibiwa JKCI

Picha na: JKCI

Comments

Popular posts from this blog

JKCI na Burkina Faso zasaini makubaliano ya ushirikiano katika kutoa tiba ya magonjwa ya moyo

Wanawake waaswa kulinda mioyo yao, kuepuka sukari na chumvi kupita kiasi

Msumbiji kushirikiana na JKCI katika tiba ya moyo