Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Donald Wright amefanya ziara ya kikazi katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)


Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akielezea huduma zinazotolewa  na JKCI tangu mwaka 2015 hadi 2021 wakati wa ziara ya kikazi ya Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Donald Wright aliyoifanya JKCI, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kuangalia huduma za afya zinazotolewa, huduma za mafunzo pamoja na namna ambavyo Marekani imechangia katika miradi mbalimbali ya afya jana Jijini Dar es Salaam


Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Donald Wright akizungumza na watendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) na Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) (hawapo pichani) wakati wa ziara yake ya kikazi aliyoifanya katika Taasisi hizo kuangalia huduma za afya zinazotolewa, huduma za mafunzo pamoja na namna ambavyo Marekani imechangia katika miradi mbalimbali ya afya jana Jijini Dar es Salaam



Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Donald Wright akiangalia huduma ya upasuaji mkubwa wa moyo unaoendelea katika chumba cha upasuaji wakati wa ziara yake ya kikazi katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuangalia huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa jana Jijini Dar es Salaam


Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Donald Wright akimsikiliza daktari wa wagonjwa waliolazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) Said Kilindimo alipotembelea ICU ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa ziara yake ya kikazi katika Taasisi hiyo kuangalia huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa jana Jijini Dar es Salaam


Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Donald Wright akimsikiliza daktari bingwa wa wagonjwa waliolazwa katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) Vivian Mlawi alipotembelea ICU ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati wa ziara yake ya kikazi katika Taasisi hiyo kuangalia huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa jana Jijini Dar es Salaam

Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Donald Wright katika picha ya pamoja na wakuu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) na Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi katika taasisi hizo kuangalia huduma za afya zinazotolewa, huduma za mafunzo pamoja na namna ambavyo Marekani imechangia katika miradi mbalimbali ya afya jana Jijini Dar es Salaam



Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Donald Wright katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wajumbe wa Kamati ya Utalii wa Tiba baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi katika Taasisi hiyo kuangalia huduma za matibabu ya moyo zinazotolewa jana Jijini Dar es Salaam

Picha na: JKCI


 

Comments

Popular posts from this blog

Wataalamu wa JKCI kufanya upasuaji wa moyo nchini Zambia

JKCI na AICC Hospitali kutoa huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo katika kikao kazi cha wenyeviti na watendaji wakuu wa Taasisi za Umma

JKCI yamshukuru Rais Dkt.Samia kwa kuwapa magari