JKCI yatoa huduma za vipimo vya magonjwa ya moyo katika mkutano wa mwaka wa madaktari


 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tatizo Waane akielezea huduma zinazotolewa na JKCI wakati Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Mhandisi Robert Gabriel alipotembelea banda la JKCI wakati wa Mkutano wa siku mbili wa madaktari uliofanyika katika Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza.


Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Theophilly Mushi akitoa taarifa ya upimaji uliofanyika katika Mkoa wa Geita wakati Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Mhandisi Robert Gabriel alipotembelea banda la JKCI wakati wa Mkutano wa siku mbili wa madaktari uliofanyika katika Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza.


Daktari wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Theophilly Mushi akimpima kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography – ECHO) mwananchi wa Mkoa wa Mwanza aliyetembelea katika banda la JKCI wakati wa mkutano wa siku mbili wa madaktari uliofanyika katika Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Tatizo Waane akipokea cheti cha utambuzi wa huduma zinazotolewa na JKCI kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Mhandisi Robert Gabriel wakati wa Mkutano wa siku mbili wa madaktari uliofanyika katika Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza.

Comments

Popular posts from this blog

JKCI na Burkina Faso zasaini makubaliano ya ushirikiano katika kutoa tiba ya magonjwa ya moyo

Wanawake waaswa kulinda mioyo yao, kuepuka sukari na chumvi kupita kiasi

Msumbiji kushirikiana na JKCI katika tiba ya moyo