Wanafunzi wanaosoma katika vyuo Vikuu nje ya nchi wapewa elimu ya Chanjo ya Uviko – 19

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akitoa elimu ya Chanjo ya Uviko – 19 kwa wanafunzi wanaosoma katika vyuo Vikuu nje ya nchi kupitia Taasisi ya Global Education Link leo katika Ukumbi wa Taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akitoa elimu ya Chanjo ya Uviko – 19 kwa wanafunzi wanaosoma katika vyuo Vikuu nje ya nchi kupitia Taasisi ya Global Education Link (hawapo pichani) leo katika Ukumbi wa Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam


Wanafunzi wanaosoma katika vyuo Vikuu nje ya nchi kupitia Taasisi ya Global Education Link wakisikiliza wakati Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete Prof. Mohamed Janabi (hayupo pichani) akitoa elimu ya chanjo ya Uviko – 19 leo katika Taasisi hiyo Jijini Dar es Salaam.

 

Comments

Popular posts from this blog

Wateja wa CRDB kutibiwa JKCI kwa punguzo la asilimia 50%

Wanawake wa JKCI SACCOS wanaongoza kwa kumiliki hisa

JKCI kutanua huduma za matibabu ya moyo nchini